Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

Pole sana dadangu, wewe kama unataka kuachwa nenda kalete kidume ndani ya nyumba.
Then ulinganishe nani zaidi. Kila la heri.

Asante ila hayo yatakuwa mashindano. Ninachotaka yeye ajisikie raha kuwa kaniacha.
 
Mnajua tatizo ni ndoa za kutongozana ndizo zinazowafikisha walengwa katika matatizo hata wanasayansi wameligundua jambo hilo.

Lakini zile ndoa za kutafuta mchumba na kutuma washenga huwa zinadumu sana na pengine huwa za maisha na mpaka mmoja anamzika mwenzake nae hachukui muda anafariki.

Lakini hizi za kuonana kwenye kona,tusidanganyane ni ndoa za muda tu tena huishia na kutupiana mijineno kibao ,ole wako ukitafuta mke/mme kwa kutongoza vichochoroni au kukubali kuoa/kuolewa baada ya kutongozwa.Halafu unakuwa huna wa kumlaumu maana kama ni mke/bwana ulimpelekesha mwenyewe kwa wazee tena ukawambia kama mimi hakunioa/sikumuoa nitakunywa sumu...sasa ukipigwa buti kunywa sumu,usitafute ushauri hapa.

Si unaona mimi nimetafuta ushauri juu ya tubinti tuwili mmoja ana 15 mwengine ana 23,watu wakaja na vitabu vya sheria hapa ,ila nimeamua haka kenye ka umri wa miaka 15 maana kila kitu chake kipo saa sita.
 
Last edited:
Duh! Kaazii kweli kweli...! Kama mambo yenyewe ndio haya... Basi tena... Mambo ya Majumbani yanaletwa JF... itafikia kipindi mwanachama JF akiudhiwa ndani ya forum naye atayapeleka nyumbani kwake...

Na hapo ndipo kihama kitapoanza.... Usishangae siku unapita mtaani au kwa wale tunao ishi kwenye nyumba za kupanga za vyumba sita na sita uwani ukasikia watu wazima wakikaripiana... "...USINILETEE MAMBO YAKO YA JF HAPA..." au Unaweza kusikia mtu anajibiwa "... JF mwenyewe...Na babayo na mamayo na ukoo wako wote JF" Nipe talaka yangu...! au nakupeleka kwa baba paroko/kadhi... lol
 
Ntakapoachwa.

I don't understand you....why don't you just LEAVE....!!!!......!!!!!

UNLESS....your man is wealthy....and you want him to take the first step (that it's his fault).....so that you can somehow benefit from the divorce.......otherwise......I don't see anything that is hindering you from walking out.

Follow your heart to Happiness....!!!!
 
Mrs Mtaba

Kipindi hiki cha credit crunch hatutaishia tu kuona mabenki yaki collapse, viwanda vikifungwa na ukosefu mkubwa wa ajira- bali pia idadi ya wanandoa 'watakaoshiwa hamu' kwa wenzi wao pia itaongezeka-hizi ni alama za nyakati!
 
Last edited by a moderator:
Kuishiwa hamu kunaweza kusababishwa na mambo mengi lakini makubwa kati ya hayo kwanza ni mapenzi yenyewe!!

Inawezekana nyie mlikuwa mnapendana lakini si kwa maana ya kuwa wanandoa! Au katika kuamua kuoana kila mtu alitegemea kitu fulani toka kwa mwenziwe...sasa mtu uliyekuwa unakutana naye kwa nadra then ukawa naye siku zote pembeni yako...hamu inaweza kuisha pale unapogundua kwamba ulifanya kosa kuolewa naye!!

Jambo jingine ni "tendo la ndoa"!! Watu wengi hawajifunzi kwamba ladha ya ndoa nayo inachangiwa sana na kukosekana "raha" ya kweli kitandani!! Inawezekana jamaa akipiga bao moja ndiyo hadi alhamis ijayo au kila siku yeye anamaliza kabla wewe hujakojoa, hapo lazima utavumilai kwa muda then ikiendelea psyschologically interest kwake inapungua na unaanza kudevelop interest kwa vijana unaowaona wapo fiti!! Hii haitokei kwa wewe kupanga au kependa, ni involuntary!!

Sasa kutibu matatizo hayo lazima kwanza wewe binafsi ukae chini na kupiga picha kuanzia siku ya kwanza ulipokutana naye, sababu iliyokufanya umpende na all the great memories kwenye mapenzi!! Ukigundua kuna kitu kina-miss basi fanya ubunifu...wewe ndiwe uwe kichocheo cha kurejesha penzi ulilikuwa nalo mwanzoni!!

Kama kuna kitu anakuboa..SPEAK OUT!!!
 
Hivi ngoja nikuulize, unaweza kumwambia mkeo aende nje akatafute wanaume kwa sababu amedai unyumba ambao unampaga kama dawa ya surua na pale wewe utakapo!

Ok mke ulipomwambia hivyo akajinyamazia kimya bila ungomvi wowote, akawa anasubiria mpaka hamu yako itakapokupanda uende kuomba mambo. Then ukifika unaanza kumshikashika kama vile hutaki, na yeye anakuambia hana hamu. Kwa uselfish wako unajiinukia nakuondoka zako. Hivi kwa maneno hayo au matendo yaho utaendelea kumpenda huyu mtu wala kumtamani.

Tuwe wakweli jamaa tuache unafiki, maana mpaka kufikia hapa ujue maji yamefika shingoni.
In intelligence business kuna theory moja "give wrong information inorder to gather correct ones" ndicho kilichofanyika Mrs Mtaba; kwani sasa utapata ushauri mzuri kutoka kwa watu wenye uzoefu kuhusu matatizo kama hayo kwa kuwakuta wenyewe au kuyaona kwa macho.

kwa mtaji huo yeye hakuachi ng'oo hata ufanye nini kwani huwezi kumlazimisha ng'ombe kunywa maji. La maana ni wewe kuachana na mawazo potofu kuwa mwanamke hatoi talaka bali mwanamme na kupingania haki yako, kwani ni bora kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti. Hey beauty, cute, and lovely lady get up and fight; ndio pigana vita vyema juu ya uhai wako mwenyewe. Lasivyo sitashangaa siku moja ktk jukwaa na kututangazia umeukwaa umeme wa kidatu.

Nakutakia mafanikio mema ktk vita iwapo utaamua kuvipigana
 
Pole kwa yaliyokukuta. Kutana na viongozi wa dini au wanasaikolojia uwaeleze matatizo yako. Wanaweza kukupa ushauri.
 
In intelligence business kuna theory moja "give wrong information inorder to gather correct ones" ndicho kilichofanyika Mrs Mtaba; kwani sasa utapata ushauri mzuri kutoka kwa watu wenye uzoefu kuhusu matatizo kama hayo kwa kuwakuta wenyew au kuyaona kwa macho.

kwa mtaji huo yeye hakuachi ng'oo hata ufanye nini kwani huwezi kumlazimisha ng'ombe kunywa maji. La maana ni wewe kuachana na mawazo potofu kuwa mwanamke hatoi talaka bali mwanamme na kupingania haki yako, kwani ni bora kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti. Hey beauty, cute, and lovely lady get up and fight; ndio pigana vita vyema juu ya uhai wako mwenyewe. Lasivyo sitashangaa siku moja ktk jukwaa na kututangazia umeukwaa umeme wa kidatu.

Nakutakia mafanikio mema ktk vita iwapo utaamua kuvipigana
Thank you all for your contribution. Hii ni hadithi ya kutunga nilitaka kupata michango na maoni tuu incase if it happens to rise an issue like this or kwa walio nayo how to go about! Kweli JF kuna vichwa achana na hii blog. Kwa kweli ikifungwa wengine naona sijui itakuwaje wajameni?
 
kama unataka kuwa na hamu nenda sehemu zifuatazo madktari ni bur watakusaidia

1))Ambiance a.k.a AFRIKASANA sinza

2))Billy lodge pale tanki bove

3))CALIFORNIA DREAMER

ukienda hizi sehemu madaktari espo usiku tuu kuanzia saa mbili utapata hamu na nakuahakikishia dawa watakayotumia baada ya siku 3 hutomwacha mumeo hata kidogo
ila kwa sharti moja aga unakwenda kwa wazazi wako maana dawa lazima unywe mchana na usiku ni hilo tu !!!
 
Nionavyo mimi:-

1. Ni kweli tunaochangia mada hapa kwenye JF hatujuani kwa sura, lakini ni rahisi kurealize tabia ya mtu kutokana na uandishi au uchangiaji wake. Hapa point yangu ni kwamba, kutokana na uchangiaji wako hapo juu, naweza ku-realize kwamba wewe u-mshari au mwenye kupenda ugomvi.

2. Kutokana na issue yako na mmeo, naona tatizo si umri kwani range uliyoitoa ya miaka 35 kwa 47 inaonyesha kwamba ni watu wenye mawazo sawa. Hivyo suala la umri sio tatizo katika ndoa yenu.

3. Kama utakuwa umeolewa ukiwa na umri mkubwa sana (takribani miaka 32), kwa umri huu wanawake walio wengi (si wote) wanakuwa tayari hawana mawazo ya kuolewa ila kuishi maisha ya kujipangia uhuru wao wenyewe. Wengi wao wanakuwa wamekatishwa tamaa au wamejeruhiwa roho zao na wanaume kimapanzi kipindi cha umri ambapo wanakuwa wanatamani sana kuolewa (Miaka 20 - 30). Kwa umri wa miaka 32 tayari wanakuwa wamezoea kuishi kwa uhuru wao. On the other words, wanakuwa tayari wamekuwa sugu au wamekubuhu....hawajali tena ndoa..ila kujifuhaisha nafsi zao kwa mapenzi tu...

4. Kwa kifupi, kuna wanawake waolewa (good wives) na wanawake wasio waolewa (bad wives). Good wives wanapenda sana ndoa zao, na wanafanya kila liwalo kuzilinda bila kujali magumu wanayokumbana nayo. Bad wives hawa ni wale wapenda good time, wanataka wawe na wanaume kwa ajili ya kujifurahisha na kwa kipindi fulani. Baada ya muda huboreka na hutaka kubadirisha. Wengi wao unakuta wana vijisenti au kazi nzuri na hivyo wanakuwa na kiburi, si wasikivu.

5. Conclusion: Wewe dada aidha ni mshari au uko kwenye kundi la bad wives. Siwezi kukulaumu na pia huwezi ujilaumu. That is the reality.

6. Ushauri: Mwombe Mwenyezi mungu akuzishie upendo kwa mmeo na pia jitahidi kuwaona washauri wa mambo ya ndoa, pengine waweza kupata msaada zaidi wa kuimarisha ndoa yako.

7. Nakutakia maisha mazuri ya ndoa.
 
Back
Top Bottom