Kupoteza muda bungeni ni kupi?

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,881
1,124
Wadau nimemsikia spika makinda si mara moja akikemea kuomba mwongozo kua kunapoteza muda wa kujadili mambo muhimu.
Sasa swali langu kwa waelewa wa masuala ya bunge je?
Kuomba muongozo ni kinyume na kanuni za bunge?
Na kama ni kwa mujibu wa kanuni ni kwa nini wasikae tena na kuzipitia hizo kanuni badala ya spika kulalama kila siku.
Pili kama ni kupoteza muda mi naonawabunge wanaosalimia mpaka hawara zao ndio wanaopoteza muda kwa sababu hiyo haiko katika kanuni,au ni kwa sababu mabingwa wa kusalimia mpaka paka wao nyumbani wanatoka chama kimoja na spika?
Au ni mkakati wa chama kupoteza muda ili masuala muhimu yasihojiwe?
Karibuni wadau.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom