TECHMAN
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 2,651
- 1,124
Hapo kale palikuwa na utaratibu wa kupokezana urais wa muungano, rais akitoka bara, makamu atoke visiwani, uchaguzi mwingine rais atoke visiwani makamu bara, JE hili lilikuwa kwenye katiba ya nchi au katiba ya ccm? Bado lipo au lishakufa baada ya Julius kufa?
:A S thumbs_up:
:A S thumbs_up: