Kupitisha mzigo bandari ya dar kutokea zanzibar

mtengwa

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
1,600
847
Wakuu naomba msaada, nina t.v yangu kesho nakuja nayo dar. Sina uzoefu na gharama za kuivusha pale kwa watu wa t.r.a bandari ya dar. Mwenye uzoefu wa gharama anisaidie nijipange kabisa
 
Ongea na mtu wa bandarini wakati wa kutoka, wanapokea elfu tano kijanja lakini, kazi kwako
 
Wakuu naomba msaada, nina t.v yangu kesho nakuja nayo dar. Sina uzoefu na gharama za kuivusha pale kwa watu wa t.r.a bandari ya dar. Mwenye uzoefu wa gharama anisaidie nijipange kabisa

Umenunua wapi?kama umenunua zanzibar njoo tu na risiti..kamaimetoka nje ya zanzibar njoo na documents za kuingiza hiyo TV kukoconfirm kama imelipiwa kodi.
 
usitoe hela/ushuru wowote waambie sio ya biashara ni kq ajili ya matumizi yako binafsi.... Ukijiskia ndio uwape elfu mbili tu... Ila uwe natv moja tu
 
Back
Top Bottom