Kupitisha Bajeti; binti wa Nyerere 'HAPANA', binti wa Sokoine 'NDIO'.

Status
Not open for further replies.

Mchekechoni

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
279
19
Msimamo kati ya familia mbili maarufu katika historia ya taifa hili umekuwa tofauti ndani ya bunge la bajeti, baada ya Mh. Leticia Nyerere kupiga kura ya 'Hapana' huku binti wa marehemu Sokoine akipiga kura ya 'Ndio'. Hii ndio demokrasia ya kweli miongoni mwa kada ya wabunge wa viti maalum, hongereni wabunge wetu!
 
Huyu mtoto wa Sokoine si ameletwa hapo na mmoja wa mapacha? hajaja bungeni kutetea haki wa walalahoi!
 
aliekudanganya kuwa Leticia Nyerere ana damu ya ukoo wa nyerere ni nani?
jina lisikuzuzue mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom