Kupima macho

tanfossil

Member
Jun 2, 2012
6
0
Tafadhali je wajua wapi niende kupima macho hapa dar?
Nimeenda mahali mmoja hapo msimbazi lakini sija pata ushauri vizuri.
 
zipo clinic ndogo ndogo nyingi mkuu, kama pale BARAKA PLAZA...santas clinic

ila CCBRT nadhani ni wataalamu wa hayo majambo!
ipo MSASANI pale na kituo kinaitwa MACHO.
 
Kuna sehemu nyingi za kupima macho unaweza kwenda pale Ilala bunguni au Maeneo ya Clock tower
 
Back
Top Bottom