Chakula gani ukipika watu wengine wanaomba kuongeza chakula tena?

haapo kwenye kufunika hewa siingie huwa sifanyi hivyo. Yaani umenihamasisha kesho nitapika nifate
haya maelekezo, then nione zitatokaje..

Jaribu mwaya alafu utaniambia.
Unaweza ukakuta ni mpishi mzuri sema tu unakosea kwenye kuzihifadhi.
 
...2012, kazi ni kwako!....

jana umekuja na unyuzi unavyojua ku massage, leo unavyojua kupika...aiseee...sifa zote hizo zina mvuto wa kipekee haki ya mungu.....pheewww! ...hebu mbu nisogee mie---malaria haikubaliki!
 
Hahahahahahah.
Mbu umenichekesha karibu nipaliwe. . .karibu tumalizie pilau. Alafu bado natafuta mambo muhimu ya kujifunza...lolz!! ANY SUGGESTIONS?
 
Ingawa mimi ni mwanaume lakini katika kupika sichezi mbali. Napenda sana kupika especially kuipikia familia yangu. Vyakula vyote ninavyopika huwa vinawavutia sana walaji lakini zaidi kuliko vyote ni nyama iwe ya kukaanga au rost
 
Chapati ni chapati mamie,za vitumbua zinaitwa "dida" ukiliwezea dida ndiyo uchawi wote wa kupika vitumbua unakuwa umekwisha!!

hapa ndipo ulipofunika Kigarama lol....
Mi ni mzee wa mamichemsho na kukaanga kaanga tu, ukiniambie nipike ubwabwa ntatafuta rice cooker.
Ila sababu ni mgonjwa wa mahage siku hyo nlkaa jikoni na bimkubwa mpaka kikaeleweka leo hii natoa ndondo fresh rojo la kutosha.
 
Hahahahahahah.
Mbu umenichekesha karibu nipaliwe. . .karibu tumalizie pilau. Alafu bado natafuta mambo muhimu ya kujifunza...lolz!! ANY SUGGESTIONS?

mnh, ni suggest nini mie yarabi nisikilizwe?...nahesabu siku tu hapa...siku kumi na moja kuanzia leo nahisi si ma bouquet hayo ya maua na chocolates zitazotinga hapo, maana kwa mwendo huu ulokuja nao 2012 mnh!....

...mie ni mjuzi sana wa kupika chai ya mkandaa,....almuradi niwe na tea bags, maji moto na sukari...aah!
halafu ujue umenitamanisha pilau, naskia njaa...! ukapera kazi!
 
hata upakuaji kwenye sahani nao unahusu
unakuta mtu kakivurugua chakula kwenye sahani hadi wewe jirani anakuchosha kula.

we mzee wa michemsho mwenzangu tukae pembeni tuangalie mapishi...
Hahahahaha Kongs leo umekuwa mpole haswa lolz
 
Ingawa mimi ni mwanaume lakini katika kupika sichezi mbali. Napenda sana kupika especially kuipikia familia yangu. Vyakula vyote ninavyopika huwa vinawavutia sana walaji lakini zaidi kuliko vyote ni nyama iwe ya kukaanga au rost
Big up man!!!

hapa ndipo ulipofunika Kigarama lol....
Mi ni mzee wa mamichemsho na kukaanga kaanga tu, ukiniambie nipike ubwabwa ntatafuta rice cooker.
Ila sababu ni mgonjwa wa mahage siku hyo nlkaa jikoni na bimkubwa mpaka kikaeleweka leo hii natoa ndondo fresh rojo la kutosha.
jG ubwabwa unakushinda wapi?
 
osha, weka funga kwenye karatasi kama gazeti afu tia kwenye mfuko wa plastick

angalizo gazeti lina wino tafuta karatasi plain.
Cabbage sijajaribu mbinu hii
Hahaha! Sio sahani tu na usafi wakati wa kupika! Nachukia mtu anaemenyea nyanya sakafuni!
Hiyo misosi RR, kwani huo wa kwanza mtu aliula akashindwa kulipa akaurudisha ama?
Hiyo ya bicarbonate umenipa mupya. Nisaidieni jinsi ya kuhifadhi vegetables kama chinese cabbage na couliflower.
 
yaani wamenizinaje mdomo
upishi na mie kama mwanafunzi na mitihani
basi tu sababu nataka kula

hata kudiskasi shida

we mzee wa michemsho mwenzangu tukae pembeni tuangalie mapishi...
Hahahahaha Kongs leo umekuwa mpole haswa lolz
 
mnh, ni suggest nini mie yarabi nisikilizwe?...nahesabu siku tu hapa...siku kumi na moja kuanzia leo nahisi si ma bouquet hayo ya maua na chocolates zitazotinga hapo, maana kwa mwendo huu ulokuja nao 2012 mnh!....

...mie ni mjuzi sana wa kupika chai ya mkandaa,....almuradi niwe na tea bags, maji moto na sukari...aah!
halafu ujue umenitamanisha pilau, naskia njaa...! ukapera kazi!

Chochote bana Mbu...tena sio tu itasikilizwa bali hata matokeo utaletewa.

Hahahahaha. . . acha weee. . .ngoja nitafute pakuviweka kabisa. Alafu wewe. . .eti mtaalam wa chai ya mkandaa!!Siku hizi wengine wanahitaji kujua maji yanachemshwaje tu, chai wageni wanajiungia wenyewe.

Nikutumie kidogo kwenye kibakuli?Lolz. .embu tafuta jirani mmoja ambae kwake hua kunakarangizwa mpaka kwako unafaidi harufu ujenge urafiki nae. . you will suffer no more.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
yaani hakuna somo napenda kama kula
samaki wa ziwa lakini wa bahari hadi awe inglishi figa akiwa bantu figa kama pweza, ngizi, crab, sijui prawn mie aku

afu roho yangu imeshikiliwa na kyukyu, nawapenda hata wakiwa na manyoya yao.

Plus wali (hapa weight ndo ina-limit)
Kwa hiyo apart from solving mathematical problems zisizohusiana na hela, unajua kupakua?! Mabigi!
 
Wali nazi...maharage nazi...samaki nazi...mchicha nazi,alafu unashushia na drip ya hamsini...usipime kitu cha nazi.
 
zamani wali maharage ulikuwa my favourate
tangu niwe mzee haupandi kabisa

nisaidieni nikatibiwe wapi ile apetite irudi

Wali nazi...maharage nazi...samaki nazi...mchicha nazi,alafu unashushia na drip ya hamsini...usipime kitu cha nazi.
 
yaani wamenizinaje mdomo
upishi na mie kama mwanafunzi na mitihani
basi tu sababu nataka kula

hata kudiskasi shida

Nilijua tu ulipoanza kukumbushia additional maths nkasema lahaurah mtoto wa watu kapatikana lol,

unamuona huyo Lizzy anavyotaka sifa?
 
namuona anavyoporomosha nondo

ujue kweli, sekondary nilikimbia upishi kwa ku-opt add math
wakanitoa kupika
nilikuwa naona karaha tu

hata hivyo nilianza kupika nikiwa mdogo mno
nikachukia for good
hata mtu asemeje nitapika sababu ni responsibility
NOT for fun kabisaaa

Nilijua tu ulipoanza kukumbushia additional maths nkasema lahaurah mtoto wa watu kapatikana lol,

unamuona huyo Lizzy anavyotaka sifa?
 
Balancing ya maji inanisumbuaga sana pia kwenye kugeuza pale,
ila wa kujipikia mwenyewe haunipi shida just siwezi kupikia wageni wangu.

Kuwa unaanza na maji kidogo pia moto usiwe mkali. Yakikauka ukiona bado unaongeza kidogo kwakuyasambaza. Alafu kugeuza jitahidi kugeuza kidogo kidogo,usigeuze kama unavyofanya ugali. . . ikibidi tafuta ile miiko ambayo iko kama uma utakusaidia sana kwenye kugeuza.

Alafu nawanaona mnavyonitupia madongo we na Kongosho.
 
Back
Top Bottom