Hehehehe waambie wawe wanakulipa.
Ila kweli kama wanakukubali sana unaweza ukafanya kawe kabiashara kako. Kuna ndugu yangu yeye ni keki, keki na yeye. Alikua anatengenezea watu bure baadae akaanza kuwatoza muda wake ukawa hauendi bure.
Chapati zinakushinda wapi tukupe somo?
fried prawns couliflower
Wanawake wanaojua kupika Makande yakaiva na kunoga, naona amebakia Anna Kilango peke yake!!
Fanya hivyo bana. . .utakua unapata hata hela ya soda au madaftari ya watoto kama wapo.nitalifanyia kazi, naweza pata kimradi hapo.
Sijui chapati nakosea wapi, ninapokanda huwa laini bila shida ila nikiweka jikoni na kuzipika (labda natumia moto mkali??) zinakakamaa kama KAUKAU
Eti kajifanya hajaona. . .aje nimpikie makande ya binzari ashangae!!LolzzzToka hapaaa! Lizzy kasema nae anajua!
Kwanza unajua 'mhawe' wewe? Mahindi yaliyokobolewa yanapikwa bila maharage na yanachanganywa na nyama ama mtindi.
Sasa hao wanaosema hawawezi kupika si ndiyo wanatukimbiza kabisa!! Misosi ya kupikiwa home ndiyo delicious lakini vya hotel ni vicious ila vinapambwa na matukio maalum
Eti kajifanya hajaona. . .aje nimpikie makande ya binzari ashangae!!Lolzzz
Wee wifi kisa cha kunikumbusha ya kale?
Sijawahi mimi kupika ya nyama ila zamani tulikua tunakula sana nyumbani, ule mchuzi wake mtamuuuu!!
Hahahaha. . itabidi niangalie uwezekano wa kujiridhisha na makande ya nyama, kumeza mate tu hakukubaliki.Mpotezee, lol!
Hayo sasa ya nyama ndo yanapikwa kama pilau na binzari na nazi, acha kabisa! Hayafai kwa dinner manake hukawii kushindwa kulala kwa vichomi,lol!
Hapo add samaki mkavu na kachumbari mmh yum yum!
nitalifanyia kazi, naweza pata kimradi hapo.
Sijui chapati nakosea wapi, ninapokanda huwa laini bila shida ila nikiweka jikoni na kuzipika (labda natumia moto mkali??) zinakakamaa kama KAUKAU
Ndio hiyo nimejaribu kuonesha kwa picha hizo mbili hapo juu. same recipe, same ingredients ila presentation sasa...hata upakuaji kwenye sahani nao unahusu
unakuta mtu kakivurugua chakula kwenye sahani hadi wewe jirani anakuchosha kula.
Fanya hivyo bana. . .utakua unapata hata hela ya soda au madaftari ya watoto kama wapo.
Hahahaha. . .
Kitu cha kwanza, hua unaweka mafuta wakati wa kukanda? Ukiwa unasukuma hua zinataka kung'ang'ania kibao/meza/counter kwa mbali? Mwisho, ukishangaa hua unaweka kwenye chombo ambacho unaweza kufunika hewa isiingie?
Vyote hivyo ni muhimu. . .haswa kuzifunika ili zilainishwe na mvuke, alafu unatakiwa kila ukiweka unazigeuza, za juu zinaenda katikati, za chini zinakuja juu na za juu zinaenda chini. Pia jaribu kubadilisha aina ya unga ambao hua unatumia, maana hilo nalo linaweza likawa tatizo..
All has been said! labda mimi nitoe maujuzi ya kiufundi tu (Tricks of the Trade :eyebrows
- lemon juice stops the oxydation process ya fruits and vegetables, kwa hiyo ukifanya salad au fruit mix na hutaki vibadili rangi tumia maji ya limao kwa mbali.
- Kama ni vegetable za kupika basi tumia bicarbonate of soda kidogo kwa mbali (mfano mchicha, njegere mbichi) and they will keep the gree color that caracterizes freshness
- Ukipika ndani ya nyumba vitu kama maharage au cabage, vinaweza kutoa harufu fulani (mi siipendi). weka kipande cha mkate ndani ya maji au drops za vinegar... harufu itakua neutralized
- If you like garlic (kama mimi) hakikisha una tafuna a clove after meal, inatoa ile harufu ya garlic na kuireplace with a fresh fragrance.
- Remember: It is as important that the food looks as nice as it smells and tastes. Hakikisha presentation yako imekaa sawa, no matter the food! Hapa chini picha ya kuku/spinach from two different cooks. It might taste the same but...