Kupiga mke ni lazima?

mwanamke wa kikurya asipopigwa atajitafutisha kosa tu mpaka achapwe, wao wasipopigwa wanaona mwanaume hampendi, ila charminglady wangu kidogo Gene zake ziko tofauti mi uwa nampiga na khanga tu, heheheheh
 
Last edited by a moderator:
tena nasikia kwenye send-off za kikurya wanaleta bandage,spirit,iodine tincture,plasta,na dawa za kuchua nyingi sana ili kumwandaa vizuri.....
mwanamke wa kikurya asipopigwa atajitafutisha kosa tu mpaka achapwe, wao wasipopigwa wanaona mwanaume hampendi, ila charminglady wangu kidogo Gene zake ziko tofauti mi uwa nampiga na khanga tu, heheheheh
 
Raha ya mke kupigwa na MUMEWE kawaulize Wakurya. Unataka wiki nzima ipite bila mzee kumpiga mkewe, hujui kupiga mke ni chachandu ya kudumisha ndoa? Sikiliza, mama mmoja alipofiwa na mume ambaye kila mara alikuwa anagawa kipigo, mama yule alirithiwa na shemeji yake ambaye alikuwa mpole sana na hakujua kupiga. Yule mjane alionekana kila mara kwenye kaburi la marehemu mumewe akililalia na kujigaragaza pale kaburiki huku akilalamika kwamba anakumbuka vipigo vyake kwani sasa aliyemrithi ni kama wameoana wanawake watupu. Alipotonywa mrithi yule mambo ya mke mpya, alienda makaburini mwenyewe na kweli akajisikilizia mwenyewe maneno ya bibi yule akilia kwa sauti kuu kukumbuka vipigo. Yule bwana jioni ile aliteremsha kipigo kwa mama huyo, mama akapiga kilio kikubwa kijijini pale watu wote wasikie kwamba sasa amegundua kwamba mrithi wake kumbe naye anampenda! Upo hapo? Kuna kupiga unakoweza kuombwa tena "Niongezee tafadhali" lakini kuna kipigo cha mbwa mwizi ndio hakifai. Daima kofi la mpenzi haliumi, vijana jifunzeni hilo.

Kipigo kipo cha aina nyingi, unaweza kumpiga mkeo kwa kipande cha Wax au khanga yenye maneno mazuri, au kwa paja la kuku na kumtoa mwende mbali kidogo mkakae chini ya "kivuli" kumalizia mambo yenu, mkaimba nyimbo zote hadi mkome ubishi. Naye mkeo anayo haki ya kukudunda kwa shati la "EAGLES" au "Kampunyoko" yaani vile vitambaa wanavyotia rangi mitaani nimesahau jina la mjini. Na kadhalika. Kipigo cha mbwa mwizi sio cha mapenzi bali hasira na hapo tena sio chachandu ila sumu. Muliyo wamayu na watate?
 
Wanaopiga wake zao ni ushamba, uonevu au mapenzi?

I think ni ushamba,ulimbukeni na failure to control your temper/anger. Maudhi najua huwa hayakosekani kama mnaishi pamoja but why ifikie kiwango cha kumpiga mkeo?Wote ni watu wazima na mna akili timamu na kumbuka huwezi kumfundisha mtu mzima tabia njema kwa kumpiga as waswahili wanasema samaki mkunje angali bado mbichi.Kama unajiona una hasira sana na unashindwa kucontrol hasira zako its better hata ukaondoka hapo home na uende mbali kidogo kwa muda ili kupooza hasira. Kupiga hakusaidii coz unaweza ukamletea kilema/kumuumiza then ukapata kazi ya kumpeleka hospitali tena.
 
Kumpiga mke ni mapenzi ila mke kumpiga mumewe ni uonevu..
Na kama wakipigana mbele ya watoto basi huo ni ushamba...
Source:Mimi mwenyewe mkurya

halafu mpenz, siku nyingi hujanionesha mapenz,.....aaah! namaanisha hujanipiga lol
kunipiga kikurya nimejihisi nisije ''quote''wa vivaya
na nina hamu ya kukuonea heheheeee ngoja watoto warudi bording, mfanyikazi tumpe likizo nianzishe ugomvi
 
Kupiga mke ni lazima, iwapo mmekubaliana ndoa yenu itakuwa physical na kwamba na yeye akikasirika anaweza kukupiga pia. What a man can do a woman can do!

Ukuryani unakimbiwa kama unakataa kutimiza haki yako ya kimsingi
 
kinachotakiwa kujua wanawake ni wadhaifu sana na huwa wanjaribu kimoja baada ya kingine wakiona ni mdhaifu mwanaume basi wanajitokeza kwa kila aina ya kiburi. ushauri wangu kipingo kinaruhusiwa haswa pale panaponekana kunaujinga unafanyika unaonya unarudiwa tena
 
Raha ya mke kupigwa na MUMEWE kawaulize Wakurya. Unataka wiki nzima ipite bila mzee kumpiga mkewe, hujui kupiga mke ni chachandu ya kudumisha ndoa? Sikiliza, mama mmoja alipofiwa na mume ambaye kila mara alikuwa anagawa kipigo, mama yule alirithiwa na shemeji yake ambaye alikuwa mpole sana na hakujua kupiga. Yule mjane alionekana kila mara kwenye kaburi la marehemu mumewe akililalia na kujigaragaza pale kaburiki huku akilalamika kwamba anakumbuka vipigo vyake kwani sasa aliyemrithi ni kama wameoana wanawake watupu. Alipotonywa mrithi yule mambo ya mke mpya, alienda makaburini mwenyewe na kweli akajisikilizia mwenyewe maneno ya bibi yule akilia kwa sauti kuu kukumbuka vipigo. Yule bwana jioni ile aliteremsha kipigo kwa mama huyo, mama akapiga kilio kikubwa kijijini pale watu wote wasikie kwamba sasa amegundua kwamba mrithi wake kumbe naye anampenda! Upo hapo? Kuna kupiga unakoweza kuombwa tena "Niongezee tafadhali" lakini kuna kipigo cha mbwa mwizi ndio hakifai. Daima kofi la mpenzi haliumi, vijana jifunzeni hilo.

Kipigo kipo cha aina nyingi, unaweza kumpiga mkeo kwa kipande cha Wax au khanga yenye maneno mazuri, au kwa paja la kuku na kumtoa mwende mbali kidogo mkakae chini ya "kivuli" kumalizia mambo yenu, mkaimba nyimbo zote hadi mkome ubishi. Naye mkeo anayo haki ya kukudunda kwa shati la "EAGLES" au "Kampunyoko" yaani vile vitambaa wanavyotia rangi mitaani nimesahau jina la mjini. Na kadhalika. Kipigo cha mbwa mwizi sio cha mapenzi bali hasira na hapo tena sio chachandu ila sumu. Muliyo wamayu na watate?

nimeipenda hii
 
too good huja-classify kupiga kupi....mimi napigaga sana.... nampiga mke wangu busu,,,,nampiga shopping ya nguvu.....nampiga bao.....This is my way

Mijitu mingine bana, limeelewa mada linakompliketi tu,

Kupiga sometymz kunasaidia kuleta heshima ya uanaume kwa ndoa, isizidi sana na iwe pale tabia haionekani kukoma kwa ushauri
 
Kupiga mke ni lazima, iwapo mmekubaliana ndoa yenu itakuwa physical na kwamba na yeye akikasirika anaweza kukupiga pia. What a man can do a woman can do!

acha ushabiki, unatoa ushauri wa hovyo kwa kuwa hujaolewa! Utawavunjia wenzio ndoa zao bure!
 
kichapo is the only language wpmen and dogs understand..........not my words so dont judge me .am just quoting chase hardy
 
True love is eternal, infinite, and always like itself.
It is equal and pure, without violent demonstrations:
it is seen with white hairs and is always young in the heart.
 
Back
Top Bottom