Elections 2010 Kupiga kura popote

matambo

JF-Expert Member
May 14, 2009
727
117
Nimesikia tetesi kuwa inawezekana kwa mtu kupiga kura ya urais mahali popote hata pale ambapo hajaiandikisha, je swala hilo lina ukweli kiasi gani?

Wenye taarifa sahihi mtujulishe jamani
 
Nilishawahi kuweka Post hapa kwamba inawezekana kupiga kura ukiwa popote duniani kwa kutumia Database kama vile unavyo tumia ATM Card, ukishatoa pesa itakwambia kuwa ushatoa.
 
Nilishawahi kuweka Post hapa kwamba inawezekana kupiga kura ukiwa popote duniani kwa kutumia Database kama vile unavyo tumia ATM Card, ukishatoa pesa itakwambia kuwa ushatoa.

majibu haya sidhani kama yalikuwa yanakubalika tanzania kabla

so hadi sasa sijapata jibu sahihi , kuna mtu ananiuliza ili akapige kura na yeye yupo mbali na mahali alipojiandikisha
 
Nimesikia tetesi kuwa inawezekana kwa mtu kupiga kura ya urais mahali popote hata pale ambapo hajaiandikisha, je swala hilo lina ukweli kiasi gani?

Wenye taarifa sahihi mtujulishe jamani

tetesi hizo si za kweli maana Kilavu alkishalitolea maelezo kuwa mtu atapiga kura kwenye kituo alichojiandikisha tu.
 
Back
Top Bottom