Kupendeza Ni Pesa au Maujanja?

Allien

JF-Expert Member
Jul 6, 2008
5,546
1,861
Compare & Contrast: Walionazo Kiukweli na Wengineo:


2v1s29f.jpg



bubbles_9.jpg


 
Aksante studio. Kuna mwingine ana pesa lakini hajui kuvaa, na kuna mwingine pesa ndo inampendezesha, kuna mwingine ana pesa kiasi cha mboga lakini anapendeza mbaya, naona kupendeza ni maujanja
 
Kwa upande wangu mimi nadhani kupendeza ni ujanja wa mtu lakini pesa ni muhimu ili ujanja huo wa kupendeza uweze kutimia.
 
Baki na maujanja yako alafu mfukoni usiwe na kitu tuone kama utapendeza.
 
Pesa ndio kila kitu,pesa inakufanya uwe na nuru usoni...

Kwangu pesa kwanza hata nikivaa malonyalonya nipo ndani ya vogue safi kuliko nipo smart suti kali moka safi then nachapa lapa jua mvua vumbi vyote vyangu!!
 
Back
Top Bottom