mie nampenda FL80 halafu namtamani Kimey vilevile namezea mate Paka Jimy. Hebu niambieni maze!!!
niko soba kama mwanangu nwenyewe... wanasema ikiuma sema, basi miye ndo hapo imebidi tu nikubali kwamba kingo zinauma ntafanyaje sasa?Mkuu nina mashaka na soba yako, huwezi kimbilia konklusheni namna hiyo
Karibu mkuu,sioni kibatani cha thanks kikirudi ntakong'oliGoood.....:clap2:
What is socially wrong is not necessarily naturally wrong.Umesomeka sasa....kwahiyo kuwa na vitz, benzi, pawa tila, tukutuku, na hata guta is nachurali okeeeee, but soshali wrong au unaonaje mkuu?
Inawezekana kupenda wawili au zaidi....ila kwasababu moja ama nyingine mmoja unakuwa nae karibu zaidi....i have loved two people vibaya mno at the same time......na najua kupi kutamani na kupenda........its possible....ila ndo kama hivyo HAIKUBALIKI.
Inawezekana kupenda wawili au zaidi....ila kwasababu moja ama nyingine mmoja unakuwa nae karibu zaidi....i have loved two people vibaya mno at the same time......na najua kupi kutamani na kupenda........its possible....ila ndo kama hivyo HAIKUBALIKI.
naomba ili tuwe kwenye mstari mmoja, asili hapa isimame kwa mambo ambayo binadamu hatuna control nayo, kama nilivyosema hatuwezi kufikiri kwa kutumia kisigino hata kama tungependa kufanya hivyo....
Then turudi kwenye hoja bob
Karibu mkuu,sioni kibatani cha thanks kikirudi ntakong'oli
What is socially wrong is not necessarily naturally wrong.
Ndio kuna kupenda sana na kupenda kidogo!Ndo maana hata kati ya marafiki zako kuna unawathamini na kuwajali zaidi ya wengine..yote inatokana na mapenzi uliyonayo juu yao!
Uwehu ndo unaanzaga ivoivo... kwanza hii mada umeiweka kimahabamahaba wakati tunajadili vitu serious vya kisiasa hapa... unataka kupenda ccm na cdm kwa sababu baada ya c ni d? au unataka kumpenda juma na asha... ufaidi vyote kote kote wakati wote? HUOGOPI UKIMWI.. SORE, HUOGOPI KUITWA MWANAINTELIJENSIA WA UPANDE MWINGINE?
PS. maoni yangu yanachanganywa na kutoelewa tunaongea siasa au usharobaro!!!
Eeheee!!! sasa unaanza kuelekea kwenye point yangu ya unapenda nini sio unapenda sana........sasa turudi kwenye hoja, kupenda vitz na benz kwa tofauti zake inakuja nachurale? kwa hiyo kama unaishi usalule, unahitaji 4 WD, je ukiwa na 2WD kwa wakati huo, utaipenda kwa vile inakula mafuta kidogo? na je itakuwa nachurale?Sijui niiwekeje,maybe kwa magari: Vits convinience yake haikuli mafuta sana na spares labda ni bei rahisi, ila shida mwendokasi na comfortability. Tukienda kwa benzi iko comfortable na mwendo pia,status juu,issue mafuta na spares. Hapo vipi?Sasa nadhani ndo kuna watu wanakuwa nazo sote,na wanazipenda kwa sababu tofauti,ila sasa benzi ni ya wknd,vits ya siku za kazi....kuna swali la nyongeza mkuu?
hayo ndo makingo yenyewe sasa,lol..
hujambo lakini wewe binti?
najua kabisa namna roho yako ilivyojikita kwa Husninyo huku moyo ukiwa kwangu...najua na naheshimu sana hiyo nechero