Kupenda unavyopenda: Hizi kingo ni za nini?

hii sredi ni muhim sana. mnaombwa kuwa serious katika kuchangia.

asanteni

avatar20141_1.gif
 
jamani tuache ushabiki jamani, tusimezwe na mjadala tukasahau sheeeerya na kanuuuuuun, jamani tujibu hoja

umegundua nini sasa
Unazungumzia kupenda kule kama weweeeeeeeeeeee anavyopenda ndovu
 
kupenda zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja au kwa wakati tofauti?
mimi ni mgeni hapa.
 
No its not possible, thou kwa mtu mwenye binafsi atasema anawapenda wote MWANAHAWA na MWANAMTAMA lakini ukweli ni kwamba mmoja tu ndio ataweza kutawala moyo wako

akiutawala ndo nakuwa nimempenda sana au?kama kuna kupenda na kupenda sana haiwezekani kukawa na kutamani na kutamani sana?as in nimemtamani mwanamtama lakini mwanahawa anamambo yanayonitamanisha zaidi na nikatamani 'kuwa na yeye' kwanza halafu wengine ikategemea?coz nadhani anaweza kuutawala moyo wangu sababu ya machejo tu na vitu anavyonipatia.hapo pi nitakua nimempenda?
 
Kwa wakati mmoja
Inawezekana sana tu.......ila kusiwe na strings attached.
Tatizo hapa ni hizi sheria tulizojiwekea.......mambo ya huyu ni wangu peke yangu nafikiri ni highest degree ya selfishness tuliyonayo binadamu....
Kwa hiyo, mambo ya sio fair, dahmbi na mengine kama hayo ndo yanaleta shida.........BUT, inawezekana. tukiachia mbali the fact kwamba baada ya hapo itafuata unapenda nn kwa huyu na unapenda nn kwa yule........mambo ya unapenda sana hayapo.....Unapenda nini zaidi YES!
 
Thats the thing..hautakua fair kwa usiempenda sana!
Tatizo maswala ya fairness ni Kingo hiyo tuliyojiwekea wenyewe!
In the second thought........hivi wivu ni kingo iliyo nje au ndani yetu!! hivi nayo ni sheria and shaaaryia binafsi?
Halafu, hapa GY unaongelea mwanaume kupenda wanawake 2+ au Mwanamke kupenda wanaume 2+? yani hujataka kujipendelea hapa?
 
Thats the thing..hautakua fair kwa usiempenda sana!
Hakuna.
Kuna kupenda na kutokuwa sure kama unapenda...hakuna kupenda kidogo, kupenda then kupenda sana!
Kwani kupenda in Overdrive?
 
Hakuna.
Kuna kupenda na kutokuwa sure kama unapenda...hakuna kupenda kidogo, kupenda then kupenda sana!
Kwani kupenda in Overdrive?
Nafikiri kutamani ndio Overdrive halafu kupenda inaweza ikawa sababu nyingine ya kuwahi kupanga viti na meza
 
Kuna haja ya kutofautisha kati ya kupenda na conveniences (hata sijui kiswahili chake). Unaweza kudhani unawapenda zaidi ya mmoja kumbe unampenda mmoja tu na huko kwingine ni convenient (sijui ndo muafaka...) kwa ajili ya kitu kimoja ama viwili. Hapa naongelea kwa wanaume na wanawake pia bila kupendelea.
 
Back
Top Bottom