Kupenda sio ndoto...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
...ningeyasema bayana lakini naogopa kuzifufua chuki zilizopita. Poza roho ndugu kwa yaliyokupata kwa sababu ya kupenda. Pendo lako limekuwa kama limepita na maji ndani ya ziwa ukabaki na huzuni.

Najua penzi ni donda la rohoni lakini usichukie. Ukutanapo na mwenzio tabasamu "hallo" mfariji ukiweza.
Ukae ukielewa kupenda sio ndoto ya usiku mmoja
 
Mmmmmm?
 
MUNGI sio fumbo . hiyo mistari ni part ktk wimbo wa ddc mlimani park orchestra, bahati mbaya ulikuwa hujazaliwa .
 
Kupenda wakati mwingine si kitu kizuri, muulize 20% kwenye uwimbo wake hapo chini atakudokeza maumivu yake.
"..... Nenda ahaaaa, nenda ahaaaa, nenda haaaa hata kama zamani nilipenda ..... "
 
...ningeyasema bayana lakini naogopa kuzifufua chuki zilizopita. Poza roho ndugu kwa yaliyokupata kwa sababu ya kupenda. Pendo lako limekuwa kama limepita na maji ndani ya ziwa ukabaki na huzuni.

Najua penzi ni donda la rohoni lakini usichukie. Ukutanapo na mwenzio tabasamu "hallo" mfariji ukiweza.
Ukae ukielewa kupenda sio ndoto ya usiku mmoja
Naweza pata wapi MP3 ya hii ngoma, inanikumbusha mbali sana wakati wa udogo, wakati huo redio moja tu, RTD..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom