Kupenda penda kubaya

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
563
98
Pamoja na kuwa mapenzi
yanaundwa kutokana
na hisia, na huwa hayachaguwi ni kwa
nani na wakati gani yajitokeze bali huwa yanatokea aotomatic.
Mbali ya kuwepo hali hali
hiyo nina maswali machache
tu ya kupata mtazamo wenu.
(1) Inakuaje unaziachia
hisia zako kwa mtu ambaye
hujamuona?
(2) Je uhalisia wake ukiwa chini ya makadirio uliyojiwekea juu yake utamuacha/mtaachana?
Tuseme umependezwa naye
kupitia picha zake
alizoweka (iwe ni jf, fb au kwengineko), (3) Je ni
sawa kufall katika penzi kupitia picha hizo?
(4) Na kwa uhakika gani uliyonao kuwa hizo picha ni zake kweli?
Tuchukulie picha ni zake kweli,
(5) Je yeye siyo katika wale wanaopoteza uhalisia wao baada ya kujipambamba na kushindwa
kutambuliwa na hata
watu wao wa karibu ikiwa
watapishana njiani?
(6) Au ndiyo tuseme wanaopenda kwa kutumia
staili hii ndo wanatia mkono gizani?
Wajuwe tu kuna kupata au kupatikana.
Kama uko nao ka mtindo huo, jifunze kuuacha.
(7) Na sijuwi utapenda wangapi kwa kutumia mtindo huu.... take care...
 
Watu hawapendi picha bali wanampenda mtu.Picha ni kivutio tu...kama chumvi au mafuta kwenye chakula sivyo vinavyoshibisha ila ni vionjo tu vya kuongeza test kwenye chakula!Mtu akisema kakupenda kisa kaona picha yako bila kuongea na wewe ni usanii tu..anakua ametamani alichokiona!Nakumbuka kuna mtu alionaga picha yangu kwenye gazeti akanitafuta..hakuniambia amenipenda ila alitaka kunipa pole.Baada ya kuongea kwa muda ndo akasema ametokea kunipenda...alichopenda sio picha ni mtu aliyeongea nae.
 
Sina cha kuongeza hapo mydear, umeua bendi
 
amekuambia anakupenda baada ya kuongea nawe. Na unajuwa kwanini alikuambia anakupend baada ya kuongea nawe? Au ndiyo alitosheka na sauti yako?
Huyo mtu alianza na mtiririko mzuri kuanzia kuona pic, ukafuatia ukaribu uliyojiwekea kupitia maongezi, then baada ya kukuona ndiyo ungekuwa muda muafaka wa kuwasilisha ombi lake kwako ila alifanya haraka. Kiujumla alijiwekea matumaini fulani kwako kutokana na pic + sauti ila alikuwa anatia mko kizani. Na matumaini yake kama yangelienda chini ya uhalia wako, basi muda wa muendelezo wa lile aliloktambia ungelikuwa mdogo. Na wengi hutokea kuumiza kupitia staili hii
 
You are missing the point...swala hapo sio picha wala sauti ila yanayotoka kinywani na ubongo unavyofanya kazi!Nwy kama bado hujanisoma utakua huna nia ya kujibiwa maswali yako bali kujijibu mwenyewe!Usiku mwema!
 
be cool. may be hatujasomana thats why tumekuwa tofauti kidogo. Lkn acha nione wengine watasemaje kama wanaweza kutokea.
 
Yeh teh teh mie mbona
nilikufia avatar ya mtu mmhh

Seriously..
kwa mimi ninavyoona upendo umegawanyika
Sehemu kuu tatu
1. Physical (appearance etc)
2. mentally
3.emotional .....

Hivyo vitatu vikikutana hapo ndo kuna CHEMISTRY ya kweli..
Nway mimi naona hapo we umeongelea kitu kimoja tu
Kwa hiyo hiwezi sema kupenda kubaya wakati umeangalia sehemu moja tu..

Kweli huwezi jua ni yupi utakaye spent the rest of ur life with
Labda itaanza na hiyo picha na kuendelea kuwa kitu kizuri.
kwani mapenzi yana mwanzo na kila mtu mwanzowake ni tofauti..
Ni kweli wengi siku hizi bila kuweka mapozi na make up
Hawaweki picha zao kwenye net.. lakini na we unatakiwa utumie akili
umesha jua hilo lipo kwanini unaenda kichwa kichwa?

UsemA ukweli mapenzi ya kwenye net yanakuwa na
kuongezeka kwa kasi sana.. take caution becareful..
tumia kitu kama skype inasaidia sana
Have a great weekend..

Ps. Topic ngumu kwa weekend akili imechakachuliwa kidogo..
peace.
 
Dah! Si mchezo Lecturer
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom