HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,566
Jana (02/01/2012), nikiwa kazini, nilikuwa nayapitia magazeti na kwa bahati nzuri au mbaya nikakutana na kisa hiki kilichoandikwa na gazeti moja la Kiswahili litokalo kila siku ....
Mwanamke mmoja ambaye ni hawara wa mwanaume mmoja mwenye mke na familia yake, amemuua mwanaume huyo baada ya kumfumania mwanamume huyo akiwa na hawara mwingine kwa kumchoma na kisu mara mbili tumboni/kifuani!
Swali: 1. Hivi inakuwaje mwanamke anauwa kwa ajili ya mwanaume ambaye ni mume wa mtu? Huku ni Kupenda kwa aina gani?
2. Kama ni wivu, ni wivu wa aina gani? Ma-infed ... wa humu, hebu mtueleza huwa mna wivu kwa mahawara wenu kiasi hiki?
3. Na huyu mwanaume mwenye ndoa yake alikuwa anatafuta nini kwa mahawara zaidi ya mmoja?
Nichukue nafasi hii, kumpa pole mke wa ndoa wa mwanaume huyo aliyeuwa, kwa kuibiwa mume na wanawake wenzake wasio na huruma, kumtumia na hatimaye kumuua kabisa kwa kisu!
Wana JF wa MMU, naomba kusikia maoni haya juu ya tukio hili.
Wenu,