Kupenda kusikiliza kila unaloambiwa na watu

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Kupenda kusikiliza kila unaloambiwa na watu
267277_497395763619093_500614696_n.jpg
 
Ngano ya punda hii,mara ya kwanza niliiona kwenye comment ya m1 wa wana ze usweet 2008 na mara ya pili nikamsikia Roma ameteleza nayo juu ya tile alipokua anapoke tu(n)zo za kili mwaka huu 2012
 
Hii e-mail nimeipata leo from 3 different people and now here in JF!
 
Hiyo imekaa uzuri, kubali ushauri but uamuzi ni wako. Kumbuka hadithi ya mbayuwayu.
 
Inanikumbusha kipindi cha rtd "mazungumzo baada ya habari" baada ya yote waliamua kumbeba na hatimaye yule punda alitumbukia mtoni.
 
Inanikumbusha kipindi cha rtd "mazungumzo baada ya habari" baada ya yote waliamua kumbeba na hatimaye yule punda alitumbukia mtoni.
hahahahaa..........wewe una kumbukumbu sana kama Radio National 277, dudu proof, ile ya mbao.!! yani duduz aka mende hawezi kuingia ndani!!!
 
Back
Top Bottom