Kupenda jamani ni maradhi

story yaani ndo kalove kalikua kanaanza ndo ivo kanjiwa kangu kamepeperushwa 4ever jamani
Hahahaha.....! Kumbe ulitamani gari liharibikie Namanga mlale hadi kesho....! Au huenda ilifika Dar lakini siku mbili baadaye ndio ukaingia nyumbani?
 
home walinipokea stendi hata kiss sikupata just simpe hug but memorable and sweet one
 
umenikumbusha nilikuwa nimemaliza shule kwenye basi akapanda gari mkaka mmoja nrb gari ilikuwa imejaa kabisa alikuwa anawai issue zake dsm akangangania kupanda hata kama hamna siti, akasimama akachoka then akaniambba akae kidogo tukawa tunashear siti yangu hadi tukafika akanipa no yake nikaipoteza na mimi nilimpa ya sister. nadhani alimpigia sister hawakuelewana maana sister aliniambia kuna wenzako wa shule wanakutafuta kwenye no yangu sema siwaelewi maana kuna mvulana anasema alisoma na wewe sasa mimi nilisoma girls sister akaamua kumpotezea. yaani its almost 8 years now lakini namkumbuka sana i wish ningempata sasa hv. he is always in my mind with all my love anaitwa
Naitwa NYENJENKURU kwa sasa nipo Kampala Uganda napatikana kwa mob no +256775881715
 
Dah wakuu demu alikuwa mkali ile mbaya labda keshaolewa kweli bac poa lakini Mungu ham2pi mjawake.Ipo cku nitapata demu bomba zaidi yake.AMIN!
 
network ilikata anaitwa chacha mwita

Bebii unaipenda sura yako kweli? Angalia unaweza ukatoroka kwenu watu wakadhan rigwaride limekushnda kumbe ni vichapo vimezidi, teteteeeeeeeee! Napita tu mamie.
 
Lia mpaka upasuke manake kichwa chako kiko kama PUTO. Huna kazi ya kufanya unatuletea Upupu humu? Acha kutumia kucha katika kufikiri manake tabia hizo wanazo Magamba.
 
umenikumbusha nilikuwa nimemaliza shule kwenye basi akapanda gari mkaka mmoja nrb gari ilikuwa imejaa kabisa alikuwa anawai issue zake dsm akangangania kupanda hata kama hamna siti, akasimama akachoka then akaniambba akae kidogo tukawa tunashear siti yangu hadi tukafika akanipa no yake nikaipoteza na mimi nilimpa ya sister. nadhani alimpigia sister hawakuelewana maana sister aliniambia kuna wenzako wa shule wanakutafuta kwenye no yangu sema siwaelewi maana kuna mvulana anasema alisoma na wewe sasa mimi nilisoma girls sister akaamua kumpotezea. yaani its almost 8 years now lakini namkumbuka sana i wish ningempata sasa hv. he is always in my mind with all my love anaitwa
Bebii kuna methali isemayo Mapenzi ya kwenye basi huishia kituoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom