Kupenda hadi kupitiliza - neno la hekima

20%najiachia mwenyewe nishasema awali!
majambazi yakiingia na kuanza kumpiga mpenzi wangu,nitamsaidia kutoka kny ule 80% upendo!LOL
.....endapo on the other hand,yameingia tu na kutukuta wawili...yakasema nichague kufa ili mpenzi wangu aachwe...nitakuwa siko tayari kufanya hivyo,this be ufisadi wa mapenzi,and whatever name you call it...ukweli utabaki siko tayari kufa!,kwa ajili ya mtu!
...mwisho unfortunately,tumezaliwa mazingira tofauti,tumekulia ktk background tofauti zinazotufanya tuwe na mtazamo tofauti...likija suala la mapenzi...!,usinione 'abnormal'..nikisema napenda 80%.....niko sawa tu na yule anayependa 100%...kama yupo LOL!

Watu kama wewe ndiyo hamjui maana ya mapenzi mnayachukulia juu juu tu na kuingia kwa pupa na hatimaye kuharibu maana nzima ya mapenzi. Ishi mwenyewe ujipe hiyo 100% yote. Eti 20% najiachia mwenyewe! Ukipendwa pendeka binti! acha ufisadi katika mapenzi wa kumpenda mtu nusu nusu!
 
na wewe kama unayajua sana mapenzi....GOOOD!.

20%....najiachia mwenyewe,bahati mbaya huwezi kubadilisha hili...!and so far najua siko peke yangu...what is sad, umeshindwa KUTU-CONVINCE...tufanye tofauti!!,
 
Usimpende mtu hadi ukapitiliza na kukufuru; hakikisha unabakisha vinginevyo utageuzwa kuwa mtumwa wa mapenzi, utanyanyaswa, utakosa utulivu na amani moyoni, utashikwa na kijiba cha roho (wivu), na utageuzwa ndondocha wa mapenzi... ni ushauri tu.

Quite right.... One step at at a time...!waeleka ushanyeshewa na mvua!
 
Usimpende mtu hadi ukapitiliza na kukufuru; hakikisha unabakisha vinginevyo utageuzwa kuwa mtumwa wa mapenzi, utanyanyaswa, utakosa utulivu na amani moyoni, utashikwa na kijiba cha roho (wivu), na utageuzwa ndondocha wa mapenzi... ni ushauri tu.

Bilashaka ushang'atwa na nyoka sasa kila ukiona unyasi unashtuka
 
na wewe kama unayajua sana mapenzi....GOOOD!.

20%....najiachia mwenyewe,bahati mbaya huwezi kubadilisha hili...!and so far najua siko peke yangu...what is sad, umeshindwa KUTU-CONVINCE...tufanye tofauti!!,

Sina chochote cha kukuconvince wewe, kama ni fisadi wa penzi siku zote utabaki kuwa fisadi wa penzi kupenda nusu nusu tayari kurukia mwanaume mwingine ili uendeleze ufisadi wa kimapenzi. Loving is Living. Unajinyima raha ya roho kwa kupenda nusu nusu na huna aibu wala hujisikii vibaya kumtakia mtu kwamba unampenda kumbe moyoni unajua wazi kwamba uko mguu mmoja ndani na mguu mmoja nje.
 
Mkuu Mkjj,

Ni kweli,ila nahisi usipokua makini hako ka asilimia ulikoweka reserve unaweza kukawekeza kwingine..lol
 
penzi la kweli halina salio, kama unahisi umependa lakini bado unafikiria kujiachia % chache unajidanganya na kumdanganya mwenzio, hujafika bado, apendae hawazi hilo, wala haoni kama amezidisha, siku zote anahisi hajafika hata robo hivyo anawaza afanye nini kuongeza!nikipenda nimependa litakalotokea nitauguza maumivu
 
Sina chochote cha kukuconvince wewe, kama ni fisadi wa penzi siku zote utabaki kuwa fisadi wa penzi kupenda nusu nusu tayari kurukia mwanaume mwingine ili uendeleze ufisadi wa kimapenzi. Loving is Living. Unajinyima raha ya roho kwa kupenda nusu nusu na huna aibu wala hujisikii vibaya kumtakia mtu kwamba unampenda kumbe moyoni unajua wazi kwamba uko mguu mmoja ndani na mguu mmoja nje.

..nyie mnaojidai hapa mnajua kupenda 100% ndio waongo na ndio mafisadi wa mapenzi!!!,ht upendo ula wa mama na mtoto hauko 100% ndio itakuwa nyie na hao wachumba zenu?
......nadhani hatuelewani unanichukulia out of context and i dont know out of your frustrations ama anger,you call me names,ni hivi forget about mguu mmoja nje ama ndani....mtu anaweza akawa 100% percent committed na wewe na asiwe anakupenda 100%....hio ya kupenda mtu 100%...simply hai-exist!!!

....i dont b'liv watu wawili,waliotoka back ground/familia mbili tofauti wanaweza pendana 100%....hakuna aliyemkamilifu lazima mmoja au wote wawe na mapungufu fulani...siamini kabisaaa mtu unaweza penda,macho yake,pua yake,nywele zake...tabia yake...yaani hakuna ht moja lake ambalo huoni lina kasoro/hulipendi......unless uwe blind,ila huu ni uongo!
 
ndio maana walisema penzi ni kipofu, na mwenye kupenda chongo huita kengeza, kwahiyo mapungufu ya mtu huwezi kuyaona kama umependa na ukiyaona basi bado hujapenda,
 
.....mapungufu huwezi kuyaona?!!...hapo ndipo nisipokubalina napo,unayaona sema unaona unaweza ishi nayo!
 
yani mkuu upo sahihi kabisa kitu chochotee kikipitilia kinakuwa na madhara so penda 50% zingine mwenzio naye sio unapenda mpaka mwenzako anakuwa ana sehemu ya yy kupenda or kupumua
 
..nyie mnaojidai hapa mnajua kupenda 100% ndio waongo na ndio mafisadi wa mapenzi!!!,ht upendo ula wa mama na mtoto hauko 100% ndio itakuwa nyie na hao wachumba zenu?
......nadhani hatuelewani unanichukulia out of context and i dont know out of your frustrations ama anger,you call me names,ni hivi forget about mguu mmoja nje ama ndani....mtu anaweza akawa 100% percent committed na wewe na asiwe anakupenda 100%....hio ya kupenda mtu 100%...simply hai-exist!!!

....i dont b'liv watu wawili,waliotoka back ground/familia mbili tofauti wanaweza pendana 100%....hakuna aliyemkamilifu lazima mmoja au wote wawe na mapungufu fulani...siamini kabisaaa mtu unaweza penda,macho yake,pua yake,nywele zake...tabia yake...yaani hakuna ht moja lake ambalo huoni lina kasoro/hulipendi......unless uwe blind,ila huu ni uongo!

Mtamkie umpendae kwamba unampenda 80% tu na 20% umejiachia mwenyewe uone kama hakukutimulia vumbi. Ulifanya research ipi na kwa muda wako hata ukaamini kwamba watu wanaotoka katika familia mbili tofauti hawawezi wakapendana 100%? Kasoro binadamu wote tunazo za aina moja au nyingine na ndiyo maana kuna ile methali inayosema ukipenda basi chongo utaona ni kengeza. Nyie mnaparamia mapenzi tu bila kujua maana halisi ya mapenzi eti kwa kuogopa kuumizwa!!! If you can't take the heat get out of the kitchen na kuwaachia wenye mapenzi ya kweli waingie katika idara hiyo na nyie wenye mapenzi ya kifisadi na kudanganya hata nafsi zenu eti unampenda mtu 80%!!!! mkabaki mnajikamatia wanaume kila mnapojisikia ili msiumizwe roho zenu. Mtamkie huyo unayemvunga kwamba unampenda kwamba unampenda 80% tu halafu uone kama ataendelea kuwa nawe. Ufisadi mpaka kwenye mapenzi hamuwezi kufanya chochote kile kwa moyo mmoja!!!! Sijakuita jina lolote lile la ajabu ni maandishi yako mwenyewe ndiyo yanayoonyesha kwamba wewe ni tapeli wa penzi kwa kupenda nusu nusu.
 
pole mpendwa kama umekwazika!
kama ni research nataka kuanza na wewe...

embu tuambie huyo mpenzi wako,hana lolote lake...unaloliona haliko kamilifu,chunguza afu uje utupe HONEST ANSWER hapa jamvini....

kumtakia huyu wangu km nampenda 80% sitamtamkia,mpaka hapo utakapomtamkia wako kuwa unampenda 100%...kama sio zuzu,lazima akutwange talaka!!haingii akilini kwa mtu yeyote...kupendwa 100%...again pole!...afu usijichoshe kuniiita mie tapeli/fisadi wa mapenzi....wenye akili zao wanajua hapa nani hasa ndie FISADI/TAPELI...wa mapenzi!!!
 
Mwanakijiji trust me, ukiishi like that in a relationship the first person to get hurt will be uaself.

Kwa nini uishi kisanii kwenye mahusiano, kwa nini uwe pretender kwani kuna mtu amekushikia AK 47 kwamba u must love me or ua a dead meat? How gud does it to do u jumpin from one person to another na mapenzi yenu ya kisanii? Mimi bwana kama nimeamua kupenda na kukubali kusema ' I do' then it will be for the rest of my life. Na kama itatokea shida will deal with it, life is too short to live regrets and grudges.
 
Wewe naona hamnazo kweli kweli! unatoa kauli hapa kwamba huamini watu wawili wanaotoka katika familia mbili tofauti wanaweza kupendana 100% halafu kumbe hujafanya utafiti wowote ule bali ni kauli uliyoitoa hewani tu.

Kwa taarifa yako sijakwazika ila viruka njia kama wewe mnastahili kuendelea na shughuli zenu badala ya kujiingiza kwenye mapenzi nusu nusu huku mkijifanya mnapenda sana. Wewe ni tapeli wa penzi ndiyo maana huyo unayemtapeli huwezi kumtamkia kwamba unampenda 80% maana unajua wazi atakuachia vumbi tu uanze kumtafuta mwingine wa kumtapeli na penzi lako la uongo na kweli.

Miye napenda 110% na napendwa 110% ndiyo maana nimo kwenye penzi vinginevyo sioni sababu ya kujidanganya nafsi yangu na kupoteza muda kwa mtu ambaye hajagusa moyo wangu kiasi hicho. Kama wewe siyo fisadi wa penzi mtamkie huyo unayemtapeli uone cha mtema kuni. Miye nimo kwenye penzi zito lenye mapenzi ya kweli kabisa na siyo mapenzi ya kifisadi kama yako ya kupenda nusu nusu. Rudi ukafanye uchangudoa maana huko hapendwi mtu bali pochi na utawapata wateja wengi watakaokupenda kwa dakika chache na usiku mmoja unaweza ukawapata wapenzi wengi tu.

Eti nimekwazika! nikwazike na wewe tapeli wa penzi!!! Wewe ndiyo hamnazo kweli kweli. Hiyo research anza na wewe mwenyewe fisadi wa penzi na uwatafute mafisadi wenzako wa penzi uwaulize hivi unayempenda akijua unampenda nusu nusu baada ya kumwambia atakubali kukaa nawe awe atakuachia vumbi? Mnaishi maisha ya uwongo uwongo tu hamna hata kitu kimoja ambacho mtaamua kuwa wa kweli!!!! Usimfiche kijana wa watu kama unampenda nusu nusu mwambie ukweli akatafute mwenye mapenzi ya kweli na siyo kupoteza muda wake na wewe fisadi wa mapenzi.
 
Asante sana kwa mchango wako murua kabisa.
 
embu usinichoshe...

vitu vingine havina kichwa wala miguuu...

i dont need kwenda kufanya research as research kwa ujinga ambao uko wazi kama huu....

wewe unayesema watu wanapenda 100% umetoa wapi ujinga huuu?ulifanya research?..no!

eti unapenda 110!na unapendwa 110%...utamdanganya nani???endelea kujidanganya....

mwisho usitake kunichimba..hapa...hunijui na hutakaa unijue kamwe!...call me all the names as you like..i dont give a F!...
 
Usimpende mtu hadi ukapitiliza na kukufuru; hakikisha unabakisha vinginevyo utageuzwa kuwa mtumwa wa mapenzi, utanyanyaswa, utakosa utulivu na amani moyoni, utashikwa na kijiba cha roho (wivu), na utageuzwa ndondocha wa mapenzi... ni ushauri tu.
Du mimi kuna mmoja alishanijeruhi mpaka nikatia akili...lakini ndiyo wanasema kabla "ujafa ujaumbika".
MMJ mara nyingi hii kwakuambiwa au kuisoma sehemu hauwezi kuichukulia serious mpaka mmoja akisha kufundisha adabu.
 
Back
Top Bottom