kolorama
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 309
- 219
Mkuu ahsante, ila kama hutojali unaweza weka vipimo au ramani ya nyumba yako na picha pia kama ikiwezekana.Ukubwa urf ft 32 upn ft 24
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ahsante, ila kama hutojali unaweza weka vipimo au ramani ya nyumba yako na picha pia kama ikiwezekana.Ukubwa urf ft 32 upn ft 24
Mkuu na Mimi naiomba hiyo ramani na vipimo kama hutojali ndugu yangu!!!Kesho taweka vpmo pamoja na lamani ya nyumba au jengo lenyewe
Mkuu kwa bati za aina gani?
Mkuu kwa bati za aina gani?
Mr aly nasubiri mkuu hope utatuma kama ulivyoahidi jana be blessedKesho taweka vpmo pamoja na lamani ya nyumba au jengo lenyewe
Siku hizi QS anasanifu nyumba/majengo?mm ni quantity surveyor nitafute nikufanyie cost yake nahusika na kutoa cost za nyumba na pia nachora nyumba uitakayo 0784834208
IT 5 za sun share Mkuu! Nzuri sanaMkuu kwa bati za aina gani?
Huyo mbona rahisi sana, nenda kawaulize wale mafundi wanaozubaa-zubaa pale Nabaki Afrika, wanaanzia million 8, kuezeka tu, wanakwambia mabati yale yana utaalaam wake.Mkuu ufundi wa kuezeka tu mil 3? @zembemkuu
Hahaha!! Ukiingia kichwa kichwa lazima upigwe kwa rate ya dola!Huyo mbona raisi sana, nenda kawaulize wale mafundi wanaozubaa-zubaa pale Nabaki Afrika, wanaanzia million 8, kuezeka tu, wanakwambia mabati yale yana utaalaam wake.
Cheap is expensive.
kwa bati mia mbao za milioni moja hazitoshi. vilevile kumbuka kuna misumari na makoa ambapo kwa bati mia misumari ya bati ni karibu kg 25msivunjane moyo hapa ml 6 tu inatosha. Hesabu hii hapa. Bati mnazoita za South gauge 28 mita 3 bati 100@27500 = 2,750,000= weka ml 1 mbao na ml 1 fundi. Umemaliza kazi.
Karibuni JEWS CONSTRUCTION inapatikana Kerege na Bunju.
Tuna supply vifaa vya ujenzi.
Tume establish kiwanda cha matofali kilichopo Kerege na Bunju.
Tunatoa tofali zenye ubora wa hali ya juu, kwa mfuko mmoja wa 42.5R tunatoa tofali 28 hadi 30 za inchi 6 na bei ni 1200 kwa kila tofali moja mpaka site, na kwa inchi 5 tunatoa tofali 35 tu na bei ni 1150 mpaka site. Ukitaka nyingi tunaongea bei inashuka.
Tunasupply popote Tanzania. Nje ya Dar es Salaam tunapeleka mashine mpaka huko na kazi inafanyiwa site.
Karibuni sana.
Kwa mawasiliano piga simu 0653 121 230
Kama una kiwanja anza msingi kwanza kwani msingi hauna gharama maalum kwa kuwa inategemea eneo ulipo na aina ya vifaa vya kutumia kama aidha msingi wa mawe au matofali. ila kwa Mwanza upatikanaji wa mawe ni mkubwa. Hata hivyo gharama za boma hadi kupaua hazitofautian sana. Kwa kifupi angalia gharama nilizotumia kuanzia msingi, boma, lenter, kupaua na magrill.
True faizaHuyo mbona raisi sana, nenda kawaulize wale mafundi wanaozubaa-zubaa pale Nabaki Afrika, wanaanzia million 8, kuezeka tu, wanakwambia mabati yale yana utaalaam wake.
Cheap is expensive.