Kupata 'O' level certificate kwa miaka 2 tu

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Habarini wajameni;
Nina ndugu yangu alizembea kusoma akaishia la saba.
Sasa ameibuka anataka soma. Nasikia waweza soma na kupata cheti za form 4 ndani ya 2 years. Je hiyo form 4 utakaopata kwa njia hii inatambulika? Na uta-sit for th same exams as a normal form 4 student at the end? Na masomo yanakua yote au?
Naomba mchango wowote na ushaur tafadhali ktk suala hili.
Natangulza shukran zangu mbele!
 
Yeah ni kweli anaweza kupata O'level certificate kwa miaka miwili tu but mpaka afaulu mitihani ya QT (Qualifying Test).
 
Yeah ni kweli anaweza kupata O'level certificate kwa miaka miwili tu but mpaka afaulu mitihani ya QT (Qualifying Test).

Thanx suzzie;
Hivyo unamaanisha huruhusiwi ku-do Form four national exams mpaka u-pass kwanza QT, au unamaanisha ukisha-pass QT ndo utakua tayari una O'level certificate..???
 
Thanx suzzie;
Hivyo unamaanisha huruhusiwi ku-do Form four national exams mpaka u-pass kwanza QT, au unamaanisha ukisha-pass QT ndo utakua tayari una O'level certificate..???

Hapana, ila hapo anakuwa na sifa ya kuendelea na masomo ya kidato cha 3 & 4, na masomo hayo yanachukua muda wa mwaka 1
 
Hapana, ila hapo anakuwa na sifa ya kuendelea na masomo ya kidato cha 3 & 4, na masomo hayo yanachukua muda wa mwaka 1

Ok. Ila nakumbuka mziki wa form 3 na 4 ulivyokua mkubwa. Je kwa m2 wa kawaida kweli jamani inawezekana mziki huu kuupiga kwa mwaka mmoja tu?! Au hayo masomo ya form3 na 4 yanakuwa ni yapi!
Thanx
 
Back
Top Bottom