Kupata loan kulisababissha ku post ujinga jamvini...

chamng

Member
Aug 21, 2012
30
10
mm ndiye niliyeandika hii thread " kwa kupata loan naipigia CCM kura " watu waliwaka na mm wengine walinitukana na wenye busara walinielewesha kuwa loan ni haki yangu.....NAIFUTA kauli yangu...ilikuwa furaha 2 kupata loan coz course zangu zilikuwa NON PRIORITY ..
 
Umeeleweka, basi nawe nenda ukawaelimishe wenzako, kuwa Loan ni haki yako kama Mtanzania.
 
mm ndiye niliyeandika hii thread " kwa kupata loan naipigia CCM kura " watu waliwaka na mm wengine walinitukana na wenye busara walinielewesha kuwa loan ni haki yangu.....NAIFUTA kauli yangu...ilikuwa furaha 2 kupata loan coz course zangu zilikuwa NON PRIORITY ..

Ruksa!
 
kazi ya mikael aweda na wenzake imetimia umelamba ngapi kuwa wazi unaweza ukawa umepunjwa uliza wengine tulipataje.
 
niamini mimi wewe lazima upate sup ama discontinue!!! Weh unafikir elimu mchezo nini!!? Muulize mr. Blue kwa nn aliacha shule akiwa form 2.....
 
Back
Top Bottom