Kupapaswa....

Heeee!!!!Vipi tena Dena Amsi maneno yamepotea au????sema nikukukmbushe nipo kwa ajli yako.
 
Last edited by a moderator:
Kitako cha athlete au mjeshi kinakuwa kigumu kuna raha yake i guess unapokipiga unless mwanaume anapokuwa na **** mdebwedo afu unamtiatia vikofi vya uchokozi lazima atakuwa offended
 
Haya sasa...........Mhhhhhhhh Dena Amsi mbona na mi nimesahau nilikuwa nataka kusema nini?kunani tena?????? hebu ngoja nimwite Kaizer na Asprin watusaidie.sitaki kuamini nimekuangusha.
 
Last edited by a moderator:
Haya sasa...........Mhhhhhhhh Dena Amsi mbona na mi nimesahau nilikuwa nataka kusema nini?kunani tena?????? hebu ngoja nimwite Kaizer na Asprin watusaidie.sitaki kuamini nimekuangusha.

Haya waiting.......................

Nyie watu bana, hebu achaneni na Boflo, kuna sehemu na sehemu za kupapasa wanaume bana...

7676924146_8340dedaf4.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umeongea point ya maana sana...hii inatokana na wao kudharau tamaduni za wengine....


Yaani kirahisi tu wanataka tuchukue tamaduni zao hata kama huku kwetu hatuzitaki na hazitufai, kwa sababu zipi? Wao wako kwenye nchi ya watu wengine, hivyo wao ndiyo wanatakiwa kujifunza tamaduni za wenzao si kuwafundisha tamaduni za kikwao, eboooo! Au wanataka kuwatawala na si kuwasaidia kivita? Naishangaa wizara ya ulinzi ya afghanistan kwa kukubali kuwafundisha wanajeshi wao kukubali kupapaswa makalio! Sisi Tanzania tulimkataa David Cameroun na ujinga wake aliotaka kuupandikiza Tanzania! fazaa nigongee like ingine, Lol!
 
Last edited by a moderator:
huu ni utumwa wa kifikra, kwanini wasiwaelimishe wamarekani juu ya salamu zao ili wao ndo wazifuate?
Wao ndo wageni, iweje mwenyeji afuate mila ya mgeni badala ya mgeni ndo ajifunze tamaduni za mwenyeji wake?
Huko ni kutojiamini na ulimbukeni wa waafgani wenyewe na serekali yao.
 
Hivi kesi ya Mch. Mtikila ya kushikwa uwemba iliendeleaje aisee?
 
mlongo wangu sasa naona unataka picha za vitabu. hizo nyingine kakusanyaje wakati alikuwa hata jf hawezi kufungua?
kamwali we boflo ana vituko anaweza kutumitumia vitabu hivo hivo humu na bado vikatuvunja mbavu!
 
Shenz....kwani wamarekani ndio nani, bora hata wamewaua......chembe na chembe mkate huwa wazee, wakiridhia vitu vidogo kama hivi......wataukubali ushoga bila kujijua, hivi kweli yaani hivi hivi dume zima ushikwe ****, aisee hata mimi napigana.
 
Back
Top Bottom