Kupanga meno vizuri mdomoni

Anotherperson

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
594
650
Kuna njia ya kutumia brace ili kupanga meno vizuri mdomon
download.jpg
, Kwa wale ambao mlishatumia hii njia mtupe uzoefu na ushauri kama kuna hasara zipi, ni mda gan ulivaa brace, ni wapi hapa Tz huduma hii inapatikana? na kwa gharama zipi? Naomba ujuz wenu wakuu.
brace.jpg
 

Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    3.6 KB · Views: 161
Tajeni kwa hela za kibongo bwanaa, mnaogopa nini si internatinal monetary limesema uchumi wetu upo shega tu.
 
Back
Top Bottom