Kupandishwa kwa madaraja kwa watumishi wa uma

kupandisha sio tabu wala shida kila ukishapandishwa maafisa utumishi ni shida kweli
kuna mfumo wa LAWSON Unaweza maliza miezi hata sita hujarekebishiwa mshahara picha ya kuwa na barua ya kupanda daraja
 
Mimi ni muhanga wa ulisemalo mkuu,nimepandishwa cheo tokea april last year,mshahara ndio umebadilika january hii,yaani hii mijitu inayoitwa miafisa utumishi serikalini wengi ni viazi sana aisee,sijui inapewa vyeo kwa kujuana,hata majukumu yao hawayaelewi,hapa nadai arrears za miezi 9 sijui nitalipwa lini,yaani usengerema tu
 
kupandisha sio tabu wala shida kila ukishapandishwa maafisa utumishi ni shida kweli
kuna mfumo wa LAWSON Unaweza maliza miezi hata sita hujarekebishiwa mshahara picha ya kuwa na barua ya kupanda daraja
your long process to change info zako xo it take long time
 
Nikikuta mtu kaandika X, ninakuwa tayari nimeishajua uelewa wake na elimu yake. Mara nyingi sisomi mpaka mwisho.
Basi watu huwa hawaelewi, yani mtu akishaandika x anapoteza umaana wa anachokiwasilisha wasomaji tayari tunahisi utumbo
Afu mwalimu mzima mmh kazi ipo
 
Back
Top Bottom