Kupanda kwa bei za gharama za maisha ni malipo kwa mpiga kura?

Gsana

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
4,383
1,321
WanaJF,Ndugu,nauli ya daladala inapanda,gesi imepanda,umeme umepanda, bei ya sabuni, bei ya mafuta ya taa juu,bei ya sukari imepanda mpaka kilo sh.1900 pengne 2000. Kwa mishahara ya laki tutaenda kweli au serikali inafanya makusudi?? Hizi adhabu ni kubwa kwa mlalahoi,hapa rushwa itakwepeka?
 
Jamani taratibu tutafika tu, mwendo ni mdundo tu mdogo mdogo, juzi Tunis, jana Yemen , leo Egypt na kesho ni TZ .
kwa sababu chaos ys nchi hizo hazitofautiani sana na matatizo tunayoyapata hapa, hivyo sioni ajabu yanayotokea kule siku si chache yakatokea kwetu.
Unemployment problem bz most of graduates are jobless, inflation, food hikes, transportation and everything is up except salary, so what do u expect from there?
 
kusema ukweli wanalazimisha ya egypt!
 
Back
Top Bottom