Kupanda kwa bei ya bia

test ya gongo haina tofauti na konyagi, lushoto kuna pombe ya miwa inaitwa boha, ni nzuri kupita bia za ilala, bado kuna mnazi, mbege, ulanzi na nyinginezo nyingi ambazo hazina makato ya T.R.A yatakayoporwa na mafisadi kwa mgongo wa kuilipa dowans.

Hata pingu ya hapo Moro sio mbaya kwa kusafisha tumbo.
 
Na kima cha chini cha michango ya Harusi nacho kimepanda kuanzia Tarehe 14-02-11, sambamba na ongezeko la bei ya bia
 
Tanzania Breweries Limited (TBL) wametangaza kwamba kuanzia tarehe 14 february 2011 bei za bia wanazotengeneza itapanda.... wakielezea sababu mbali mbali nyingi zikiwa ni kupanda kwa gharama za uzalishaji....
Hiyo sababu inaeleweka, hamna mbaya!
 
Mtakoma mnao jiua kwa gharama kubwa na bado sijui kwa nini hawauzi elf10
Hata mimi nimesoma kwenye mwananch,nikajiulza je mbona bei za bidhaa muim znapopanda hatutangaziwi,kwa mfano sukar huku kwetu elfu 2,ngano elfu mia 1,unga wa sembe mia 8-mia 9,mkate wa mia 7 now mia 8 na 50,lakin sijasikia tangazo,kwani hakuna wazalishaj kama wa TBL?
 
Hata mimi nimesoma kwenye mwananch,nikajiulza je mbona bei za bidhaa muim znapopanda hatutangaziwi,kwa mfano sukar huku kwetu elfu 2,ngano elfu mia 1,unga wa sembe mia 8-mia 9,mkate wa mia 7 now mia 8 na 50,lakin sijasikia tangazo,kwani hakuna wazalishaj kama wa TBL?

katika sekta hii...wazalishaji wanaifanya biashara hii kwa ustadi mkubwa sana...lakini wadau wake ndio hawaeleweki... wakisha kunywa wakalewa.. wanasahau...hata chupa wanavunja
 
Da,hili nalo ni janga la Taifa,tukigoma kunywa nchi itaendeshwaje?inauma sana aisee.naipenda nchi yangu ila TBL watanifanya nifikirie mara mbili kabla ya kuchangia bajeti
 
this is not faaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaair :A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down:
 
na viroba vitapanda bei tuu .. hakuna pa kwenda ...hivi hizi pombe za kienyeji haziwezi fanyiwa R&D zikawa packed formally kama ilivyo kibuku..pombe ya maharage
 
ndo style inayotumika siku hizi ili kupunguza makelele ya watz,zamani bei za bidhaa zilizoea kupanda baada ya kutangaza bajeti lakini walzuiwa na serikali.so bidhaa nyingi zilipaswa kuwa zimepanda since Julai 2010.
 
kupanda kwa bei ya bia na "jukwaa la siasa" vinaingiliana vipi hapa??!!!!!!!!!!!!!... Hebu peleka tbl zako kwenye business & economy
:a s 20::a s 20::a s 20:

ukomo wa ufikiri wako ni kwamba siasa ni propaganda na jukwaa la kupigana vijembe..kwni sera za chama hazizungumzii uchumi ... what is the doctrine of political economy.... chama kushika hatamu ya uongozi ni nini ... kuongoza nchi kimaendeleo ikiwemo kuratibu na kusimamia uchumi wa nchi pamoja na mifumuko ya bei za bidhaa .... nashawishika kwamba ulokole wako ni ule wa kupotosha na kutafuta sadaka zaidi ya kuhubiri upendo kwa kutumia imani husika
 
Acha kubwabwaja bana hii mada sio mahala pake hapa... siku nyingine uandike mada panapohusika sio kurupuka tu, au umeona ukiweka business & economy hutapata ATTENTION jitetee basi kidogo nikuelewe!!!
Na suala la ulokole linaingiliana vipi hapa kwenye "jukwaa la siasa", yani bado unateleza tu, suala la sadaka limetoka wapi tena mimi na wewe nani mwenye busara sasa.... usikurupuke wala kuropoka tena sawa bwana LAT!....
:A S thumbs_down::A S 20:

waulize mods kwa nini wameiacha hii mada humu muda wote...mbona huajajibu kuhusu the doctrine of political economy .... hivi kwenye hoja ya DOWANS imejadiliwa humu...haya kuzalisha umeme na kesi ya DOWANS na TANESCO mbona yamo humu twenty four seven.... usipende kucharuka na kudandia gari kwa mbele
 
Vipi Eagle inatengenezwa na kampuni gani? Kitu ni 6.5, ukinywa 2 tu uko tila lila na bei yake ni poa kabisa.
 
Hivi huku kupanda kwa bia na kwenyewe ndo kubana matumizi tunayoambiwa au hali ya mapato ya nchi si nzuri? Bia sasa ni 1800?
 
Hi hali ya kupaa kwa bei ya bia kutoka 1500 mpaka 1800 ni nchi zima ama ni kwetu Shinyanga tu?
 
ndo hivyo UCHUMI WETU UNAVYO PAA kama alivyotuambia raisi wetu!
 
Kama Dar itakuwa bei hiyo,Kigoma je watauza kwa bei gani?Kama Hashycool alivyosema wengi watahamia kwenye gongo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom