Kupanda kwa bei ya bia

LAT

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
4,401
1,312
Tanzania Breweries Limited (TBL) wametangaza kwamba kuanzia tarehe 14 february 2011 bei za bia wanazotengeneza itapanda.... wakielezea sababu mbali mbali nyingi zikiwa ni kupanda kwa gharama za uzalishaji....

Brands za TBL ni pamoja na Safari Lager, Kilimanjaro Lager, Castle Lager, Castle lite, Ndovu special Malt, Reds apple na nyingine
nyingi

source:Bandiko la TBL kwenye The citizen 11/02/2011

twende kazi...hata kabla ya budget, bado recharge vouchers za simu
 
Mtakoma mnao jiua kwa gharama kubwa na bado sijui kwa nini hawauzi elf10
 
nadhani huu ni mwanzo mzuri wa pombe zetu za kienyeji kupata promotion kama mbege,togwa n.k
 
test ya gongo haina tofauti na konyagi, lushoto kuna pombe ya miwa inaitwa boha, ni nzuri kupita bia za ilala, bado kuna mnazi, mbege, ulanzi na nyinginezo nyingi ambazo hazina makato ya T.R.A yatakayoporwa na mafisadi kwa mgongo wa kuilipa dowans.
 
kenya wametumia katiba mpya na kuhalalisha gongo a.k.a chan'gaa.... kazi kwao
 
mmmh!!!! mkuu hapo kwenye red nina wasi wasi km ni sawa na gongo, nahisi yenyewe ni more than a poison, inawaua kwa sana.
 
test ya gongo haina tofauti na konyagi, lushoto kuna pombe ya miwa inaitwa boha, ni nzuri kupita bia za ilala, bado kuna mnazi, mbege, ulanzi na nyinginezo nyingi ambazo hazina makato ya T.R.A yatakayoporwa na mafisadi kwa mgongo wa kuilipa dowans.

kuna komoni na chimbumu bila kusahau mtukuru pombe safi kabisa
 
Mimi hilo bandiko nimeliona kwenye gazeti la Mwananchi, ukigawanya bei ya jumla kwa crate/carton nadhani bei za rejareja ni kama hizi za sasa, sijui zilishapanda au tulikuwa tunaibiwa tangu siku nyingi!!
 
you are right... recommended retail price ya TBL ilikuwa Tsh 1400/= sasa ni Tsh 1500 that means bia itakuwa btw Tsh 1600-1700 .... na ndiyo maana TBL wanasema ni recommended retail price
 
Safi sana mama nanihii atauza sana machozi ya simba na hali yake kiuchumi itaimarika............
 
test ya gongo haina tofauti na konyagi, lushoto kuna pombe ya miwa inaitwa boha, ni nzuri kupita bia za ilala, bado kuna mnazi, mbege, ulanzi na nyinginezo nyingi ambazo hazina makato ya T.R.A yatakayoporwa na mafisadi kwa mgongo wa kuilipa dowans.

Hahhaahaa, usinikumbushe boha la Lushoto, ile pombe bwana ni tamu kama sukari ya muwa but as time passes on, ndo uchangamfu unazidi kuongezeka, I think tumepata sababu ya msingi ya kufungua bar zetu za kienyeji huku jijini....
 
Back
Top Bottom