kuongeza speed kwenye pc yangu

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158
inakuwaje wakubwa? natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wana jf wote
tatizo langu ni kwamba natumia simu kama modem kwa sasa speed inanionyesha kuwa ni 921.6 kbp,kiukweli sijaridhishwa na speed yake je kuna uwezekano wa kuongeza speed?
 
hzo 921.6 kbps ndo spidi unayopata?au ndo uwezo wa cm wa kupitisha data? Cuz kama ndo spidi unayopata cjui kwa nn unalalamika akat hata wngne hawapat 250 kpbs! Labda ucku wa manane!
 
Ndio speed ninayoipata,kwhyo mkuu unataka kuniambia hii speed ni fresh tu?
 
Back
Top Bottom