kuongeza nafasi za kazi kwa vijana

Akida kaka

Member
Feb 17, 2011
53
5
ilikuongeza nafasi za kazi, naomba umri wa kustaafu upunguzwe ili vijana nao wapate nafasi.

wanajamii mnalionaje hili?
 
Mkuu tatizo moja vijana wengi tunapigania tupewe nafasi zaidi hili ni jambo zuri,lakini tatizo ni mmoja wengi wetu tukipata hizo nafasi za juu tuansahau tulikotoka na kuwa nu ya dhara ya ajabu sana na hatutoi msaada wowote kwa vijana wengine kuwainua.mkuu we jaribu kumtafuta kijana yoyote mwenye mafanikio uone kama utapata hata nafasi ya kuongea nae au hata kama atatoa nafasi yake ya dakika kukupa hata ushauri.hili linanisikitisha sana,haina maana yoyote kuwapa vijana nafasi kama matokeo yake ni haya.
 
Back
Top Bottom