Kuongeza gharama za working permit kwa 33% kwa wageni, tunamkomoa nani??

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
“All foreigners holding resident permits “A”, “B” and “C” are informed that with effect from August 01, 2012

The employers who opt to transfer part of their workforce to Tanzania will now pay $2000 (Sh168, 000) per employee, a 33 per cent increase from $1,500 (Sh126, 000).

Self employed pensioners will now pay between $1,000 (Sh84,000) to $3,000 (Sh252,000) depending on business type while class “C” holders are now required to pay between $200 and $500 to be allowed to work in Tanzania
 
"All foreigners holding resident permits "A", "B" and "C" are informed that with effect from August 01, 2012

The employers who opt to transfer part of their workforce to Tanzania will now pay $2000 (Sh168, 000) per employee, a 33 per cent increase from $1,500 (Sh126, 000).

Self employed pensioners will now pay between $1,000 (Sh84,000) to $3,000 (Sh252,000) depending on business type while class "C" holders are now required to pay between $200 and $500 to be allowed to work in Tanzania
arifu dizaini kama chenje ya mnyamwezi imekosewa....
 
"All foreigners holding resident permits "A", "B" and "C" are informed that with effect from August 01, 2012

$2000 (Sh168, 000)
$1,500 (Sh126, 000)
$1,000 (Sh84,000)
$3,000 (Sh252,000)

Hizi ni exchange rate za shilingi ya "nji" hii?
 
Kwa nini isiwe 1500% nani kwa kuambia sisi wenyewe hatuwezi kazi!!
 
Naungo mkono wazo la kuongeza gharama kwa wafanyakazi wa kigeni ingawa ongezeko lenyewe ni dogo sana.
 
Naungo mkono wazo la kuongeza gharama kwa wafanyakazi wa kigeni ingawa ongezeko lenyewe ni dogo sana.

Wafanyakazi wa kigeni kwa kazi gani za kitaalamu ambazo sis hatuwezi??? serikali ongeza 1500%
 
“All foreigners holding resident permits “A”, “B” and “C” are informed that with effect from August 01, 2012

The employers who opt to transfer part of their workforce to Tanzania will now pay $2000 (Sh168, 000) per employee, a 33 per cent increase from $1,500 (Sh126, 000).

Self employed pensioners will now pay between $1,000 (Sh84,000) to $3,000 (Sh252,000) depending on business type while class “C” holders are now required to pay between $200 and $500 to be allowed to work in Tanzania
Mkuu hapa sijui umepata wapi madudu haya!

arifu dizaini kama chenje ya mnyamwezi imekosewa....

Hizi ni exchange rate za shilingi ya "nji" hii?

Muulizeni source jamani....pengine anahema juu juu kwa kuwa kawaajiri wengi wageni mpaka exchange rate imekuwa issue!
 
Kuna haja gani ya kuwa na hao wageni kwa wingi hapa nchini? Kuna kazi gani ambayo miaka hamsini ya uhuru kwenye nchi hii hatuiwezi. Tena unakuta wageni wenyewe ni wa kutoka bondeni kwa wingi, ambao mimi nikiwa darasa la kwanza nilifundishwa kuwachukia,lakini leo nchini mwetu tunawaita wawekezaji au wataalamu. Serikali yetu ifike sehemu iwakatae hapa nchini maana kwa sasa wageni wanajaa kwa kazi ambazo hata wenyewe tunaweza kuzifanya. Wanaletwa hapa kwa kuitwa wataalamu,lakini wakifika huku kazi wanafundishwa na watanzania. Waanze kuwakatalia kuwepo kuja au kuwepo kwa wingi kwenye nchi kama haina wenyewe.
Lakini pia utakuta wanaokataliwa kuingia au kupewa vibali ni wageni wenye rangi nyeusi, wenye rangi nyeupe wanaingia tu.
 
Ndio njia muafaka ya kulinda ajira za watanzania, tena kiwango kilicho pandishwa hakitoshi? waongeze tena kwa asilimia 50, haiwezekani mtu ajifanye mwekezaji ashindwe kulipa permit $5000.
Au ndio tunatetea wachina wanao uza njugu ?
 
Kuna kazi nyingi zinafanywa na wageni hapa nchini kwetu ilhali kuna watanzania wengi wanazimudu. I am talking from my experience kwenye makampuni makubwa hapa Bongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom