kazikubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 597
- 145
Km ni hiyvo mbona TING wanayo hiyo channel? mimi nilipanga kununua startimes kwa ajili ya hiyo channell tu sasa wameondoa basi tena
Kwaheri.

Hivi redio lman na TB Joshua, nani ni hatari zaidi? Usalama wa taifa hawana jipya
kwa nini munapata shida kujibu ukweli , kuna kadhehebu hapo Tanzania ambacho ndio MFUMO inaona waumini wake wengi wanalikimbia jengo lao na hivyo wanazidi kukosa sadaka maana waumini wao wote wanalikimbia hilo kanisa wanaamia kwa EMANUELI sisi yetu macho nyie tangeni tu eee mwisho wa elimu yenu ya juu ni uisilamu
Huna haja ya kuhangaika Emmanuel ipo free huna haja ya kulipia,mtafute fundi wa kufunga satelite dish na utaenjoy chanel kibao
Ahaaa, Kumbeeee! Haya tunasubiri the next episode.Iko wz sababu ya kuizuia hiyo TV.
Huyo TB si ndo alimtabiria EL kuwa Rais wa 5 wa Tz?
Hamuoni kuwa EL anaweza kuwa anaitumia kuutangaza utabiri huo kila siku via TV hiyo, kuaminisha waTZ kuwa yeye kuwa Rais ni kutimiza unabii?
Bila shaka wapinzani wa EL wasingekuwa tayari kuona hilo linatimia.
kwa nini munapata shida kujibu ukweli , kuna kadhehebu hapo Tanzania ambacho ndio MFUMO inaona waumini wake wengi wanalikimbia jengo lao na hivyo wanazidi kukosa sadaka maana waumini wao wote wanalikimbia hilo kanisa wanaamia kwa EMANUELI sisi yetu macho nyie tangeni tu eee mwisho wa elimu yenu ya juu ni uisilamu
Km ni hiyvo mbona TING wanayo hiyo channel? mimi nilipanga kununua startimes kwa ajili ya hiyo channell tu sasa wameondoa basi tena
Msisumbuane na hao mapoyoyo, nendeni Kariakoo nunua free satelite receiver na dish lake ukifunga unampata TB Joshua wa Emmanuel TV live bila chenga.Ukitaka maelezo zaidi niko tayari muda wowote.