Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

Wakuu mi niko hoi naugua hii kitu, uso upo kama nimezimiwa sigara,, jinsi gani ya kutua madoa?
 
wanajamvi naomba mnisaidie dawa ya kuondoa madoa usoni yaliyotokana na kukamua chunusi.pls madoctor nisaidieni maana hali ni mbaya sana.
 
Wanajamvi naomba mnisaidie dawa ya kuondoa madoa usoni yaliyotokana na kukamua chunusi.

Pleases doctors nisaidieni maana hali ni mbaya sana.
 
Time tu, utapaka mavitu wee mwishowe utajikrimu bure.

Labda bio oil kwa mbaaali inasaidiaa naaa hainaa effect kwa ngozi.
 
nenda duka la dawa kanunue dawa moja inaitwa gentlezon ipo katka tube kama kdawa cha mswaki kidogo,,,,,,,,,inauzwa elfu tatu,,,,kisha nenda kwny maduka ya cosmetic kanunue Eskino ya Lemon made in Philipine chumba ndogo inauzwa elfu mbili na kanunue na pamba kisha utakuwa unaosha sura yako kwa maji safi na salama ya uvugu vugu au hata ya bairidi si mbaya, lakin hakikisha sabuni unayotumia kuosha sura yako iwe inakupenda yan isiwe ina kuharibu kama sabun unayotumia haikubalian na ngozi yako bac tafuta sabun inayokubaliana na ngozi yako na kitaalamu haushauliwi kubadilisha badilisha sabun ya kuogea maana kla sabun ina kemiko zake. Ukisha kausha sura vzur bac chukua eskino itie katka pamba kidogo kisha sugua sura yako vzur pamba ukiona imechafuka tayar kata kipande kingne tia eskino jisugue taratbu kisha kama n usiku lala,,,,, asubuhi osha sura kama kawaida ksha paka gentlezon,,,,hakikisha kama ukipaka gentlezon usiku asubuh usipake au hata kama ukpaka lakin usifululize sana maana n kali hyo dawa na wahawashauri kuitumia kla cku ila eskino unaweza kutumia kila siku fanya utaratbu huo kutwa mara tatu au mara mbili bac utakuwa mzuri kama Mr. Blue
Kama utakuwa na swali utaniulza na ntakujbu
 
thanks!
 
mimi nina tatizo km lako nimenunua "Gold Tourch" for oily skin naona inanisaidia sh 2500.
 
Kuweni makini sana na hizi cosmetics za buku 2 sijui buku 3. Pia zingatieni cosmetics zilizokataliwa kuuzwa na TFDA
 
Maduka makubwa ya dawa kama JD na mengineyo

Ila kukweli jipe muda, mie niliumwa nikawa na madoa chui ana afadhali

Kila mtu aliniambia tumia A mara B mara C, wala sijatumia kitu na sasa niko poa tu

inapatikana wapi mkuu?
 
Ngugu zangu naomba msaada wa kuondoa mabaka mabaka fulani(makovu)niliyapata nikiwa mtoto baada ya kuugua,nilikwenda hosp.mbalimbali kwa ajili ya uchunguzi wakaniambia hayo makovu yako kwenye ngozi na si kwenye damu..nimetumia dawa mbali mbali mpaka sasa hakuna lolote...
Msaada tafadhari.
 
Fuatilia lishe nzuri iliyoandaliwa kiasilia kwa ajili ya kuondoa mabakamabaka na chunusi.

MAGILIM
Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo

CORDY ROYAL JELLY

Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly.
Royal jelly – Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.

FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY

  • Ina vitamin A,B,C,D,E na K ni chakula kilichokamilika.
  • Inaondoa cholesterol
  • Inaimarisha mfumo wa damu mwilini.
  • Ina faty Acid
  • Inaongeza nguvu na kutoa uchovu na kutoa sumu mwilini
  • Inakufanya usizeeke haraka(anti aging)
  • Kulainisha ngozi na kufanya ngozi kuwa nzuri
  • Inafanya damu kuwa nyepesi
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Kuweka kiwango cha mafuta na cholesterol sawa.
  • Mafuta yaliyoganda kuzunguka moyo na kwenye mishipa ya damu huyeyusha na kulainisha mishipa ya damu.

REISHI

Bidhaa hii inatokana na uyoga mwekundu unaotoka Asia ya mashariki, China, Japan. Uyoga(Ganoderma licidum) unaaminika sana Asia ya mashariki kuwa ni mmea ambao unawapa urefu wa maisha.

FAIDA YA REISHI

  • Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Inapunguza kasi ya kuzeeka
  • Inaimarisha utendaji kazi wa moyo
  • Inaondoa uchovu mwilini
  • Inaimarisha ubongo,kumbukumbu na usikivu
  • Inatibu presha ya kushuka
  • Inatibu vidonda vya tumbo
  • Inatibu pumu, allegy
  • Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukupa usingizi mzuri
  • Inapambana na maambukizi ya bacteria na fungus
  • Inasaidia mwili kujikinga na kansa
  • Inatibu matatizo ya candida
 
Attachments

  • CORDY ROYAL JELLY.jpg
    CORDY ROYAL JELLY.jpg
    15.7 KB · Views: 210
  • REISHI.jpg
    REISHI.jpg
    16.2 KB · Views: 245
Wana jf heshima kwenu,

mimi nina shda ya makovu miguuni nilipata shida nikiwa
mdogo, hivyo niilipona nikabaki na makovu japo co makubwa
sana miguuni jamani wandugu naombeni mwenye kujua dawa ya kuyaondoa
aniambie tafadhali

natanguliza shukrani za dhati
 
Back
Top Bottom