deonova
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 742
- 417
Habari wadau,
Naomba mnipe msaada wa maelezo tafadhali, utaratibu wa wanaoomba nafasi za vyuo vya ualimu vya serikali (ngazi ya certificate) kwa mwaka huu;
1. Applications zinaanza kupokelewa kuanzia mwezi gani.
2. Taratibu za kuapply unaomba wapi na kwa utaratibu gani/zipi.
Ntashukuru sana wadau, nataka kumsaidia mdogo wangu kwenye applications na sijajua pa kuanzia na muda wa kuanza kuomba na utaratibu gani wa kutumia. Natanguliza shukrani kwenu.
Nawasilisha.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums