Kuomba kura wakati wewe hujajiandikisha

Aje nimpe nliyoandikisha yangu coz sura yangu na yake ipo copy,imeandikwa Nimesema Sioi
 
Haya wana wa arumeru, mgombea anawaomba mumchague wakati yeye mwenyewe hatajichagua. Kama hakuweza kumpigia kura baba yake mzazi, atawakumbuka ninyi mkimchagua? Tafakari chukua hatua.
 
Hata Mbatia (mgombea ubunge NCCR 2010 Kawe) hakupiga kura kabisa. Sio ishu sana, ila ni muhimu kwa uhamasishaji
 
Ukiskia technical error ndo hii!
Hivi ana hata kadi ya uanachama ya CCM ama anaendeleza ya marehemu mzee?
 
Jamani msameheni mwenzenu ana majonzi ya kushindwa kwa kishindo nyie bado mnamletea mauzi. Leteni hoja za majimbo yaliyo wazi mengine mchakato uanze mapema watu tufaidi minyukano; maana Arumeru ilikuwa kama filamu ya Amith Batchan ya ukweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom