Kuomba kazi

Baby shangazi

Member
Mar 24, 2012
64
8
Hello wanaJF, mimi nimegraduate mwaka jana with my degree in marketing,but nikapata matatizo ya kifamilia so ckuweza kuanza harakati za kutafuta kazi mapema, sasa nimetulia nataka nisambaze CV zangu maofisin, in case ya bank ni lazima kutuma makao makuu au hata kwa branch managers?m nipo mbeya sasa, pliz naomben mawazo yenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom