Kuolewa na Mzungu Tanzania, ni Ticket ya U-celebrity au Njaa?

Jamani hawa wazungu ikija kwenye suala la kupeana raha chumbani ni zero kabisaaaaaaaaaaaaa.

Lakini wanajua kupenda na akikupenda basi wewe ni malkia.

Makaka zetu wa kibongo ikija kwenye suala la kuridhishana wala usiongee..they will take you to the moon..ila sasa tatizo lao na wao mtapangwa foleni kama kumi hivi..utadanganywa kama mjinga,muda mwingi yupo na washkaji badala ya girlfriend au familia.kitu ambacho hakipo kabisaa kwa wazungu.mzungu akikupenda ni wewe tu , hatawachanganya,akikuchoka atakuambia na hakudanganya kama hawa waswahili wenzetu.thats the bigest difference

hilo ndio kubwaa linalotufanya tukimbilie kwa wazungu

Soma hiyo, ni utafiti uliofanyika Marekani kwa wazungu na wala si Africa.
http://well.blogs.nytimes.com/2010/05/10/tracking-the-science-of-commitment/?no_interstitial
 
Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia sana blogu ya U-turn www.u-turn.co.tz na haiwezi ikakuchukua muda wala akili nyingi kugundua kwamba kuna baadhi ya kina dada wanaona kuolewa na mzungu ni dili. Hii blogu ni kama maalumu kwa ajiri ya kina dada wanaochukuliwa na wanaume wa kizungu. Imefikia hatua mpaka wanawake wengine umwandikia Mange (mmiliki wa blogu) kuuliza ni wapi na namna gani wafanye ili kupata mabwana wa kizungu.

Ukifuatilia bloguni humo utaona 95% ya picha zinazopostiwa ni za mabinti wakiwa wamechill na mabwana wa kizungu huku zikisindikizwa na habari ama vichwa vya habari vinavyoashiria kwamba wahusika wanakula bata na wazungu hao.

Mfano wa mabinti hao ni wafuatao; list ni ndefu sana so nitaweka machache kati ya hayo;

1. Mange Kimambi ( Mwenyekiti wa mademu walioolewa na wazungu Tanzania)
2. Irene Kiwia
3. Mwamvita Makamba
4. Jesca
5. Jacky Isaac
6. Bella
7. Mitsuka
8. Joyce
9. Happyness
10. Pamela etc etc

List ni ndefu balaa.....na hao wako just inthe first four pages out of 70 pages!!!
 
lione lilivyopoteza muda wake kuwataja wadada wa watu humu....mfyonzooo:angry:
 
mdau hapo juu,una ushahidi gani wa unachokisema,na hata hao uliowataja hapo juu,hamna hata mmoja mwenye njaa mpaka kutoka na mzungu,issue ni true love thats matter,tuache ubaguzi,kwani kuwa na mzungu si kielelezo cha kuganga njaa,au inakuuma jinsi hao wadada wanavyokula bata kwa raha zao?naomba tuache ubaguzi na mimi mange kimambi namfagilia saana,manake anaishi kama vile anaigiza......,ni bata kwa kwenda mbele ,kitu shida kwake ni msamiati
 
There is something I like about white guys...but i am not gonna say it here.... let alone their green/blue eyes OMG... but you know what never choose a partner based on their skin color it is plain stupid...
 
Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia sana blogu ya U-turn www.u-turn.co.tz na haiwezi ikakuchukua muda wala akili nyingi kugundua kwamba kuna baadhi ya kina dada wanaona kuolewa na mzungu ni dili. Hii blogu ni kama maalumu kwa ajiri ya kina dada wanaochukuliwa na wanaume wa kizungu. Imefikia hatua mpaka wanawake wengine umwandikia Mange (mmiliki wa blogu) kuuliza ni wapi na namna gani wafanye ili kupata mabwana wa kizungu.

Ukifuatilia bloguni humo utaona 95% ya picha zinazopostiwa ni za mabinti wakiwa wamechill na mabwana wa kizungu huku zikisindikizwa na habari ama vichwa vya habari vinavyoashiria kwamba wahusika wanakula bata na wazungu hao.

Mfano wa mabinti hao ni wafuatao; list ni ndefu sana so nitaweka machache kati ya hayo;

1. Mange Kimambi ( Mwenyekiti wa mademu walioolewa na wazungu Tanzania)
2. Irene Kiwia
3. Mwamvita Makamba
4. Jesca
5. Jacky Isaac
6. Bella
7. Mitsuka
8. Joyce
9. Happyness
10. Pamela etc etc

List ni ndefu balaa.....na hao wako just inthe first four pages out of 70 pages!!!
Kuna wengine hapo wala hawajaolewa na hao wazungu wameishia kuzalishwa tu na kuachwa maana hao wazungu walikuja bongo kwa mkataba wa kazi baada ya mkataba kuisha wamerudi kwao na hao wadada kuachiwa machotara.
 
Jamani hawa wazungu ikija kwenye suala la kupeana raha chumbani ni zero kabisaaaaaaaaaaaaa.

Lakini wanajua kupenda na akikupenda basi wewe ni malkia.

Makaka zetu wa kibongo ikija kwenye suala la kuridhishana wala usiongee..they will take you to the moon..ila sasa tatizo lao na wao mtapangwa foleni kama kumi hivi..utadanganywa kama mjinga,muda mwingi yupo na washkaji badala ya girlfriend au familia.kitu ambacho hakipo kabisaa kwa wazungu.mzungu akikupenda ni wewe tu , hatawachanganya,akikuchoka atakuambia na hakudanganya kama hawa waswahili wenzetu.thats the bigest difference

hilo ndio kubwaa linalotufanya tukimbilie kwa wazungu

Umefanya utafiti?Umetembea na wazungu wangapia wameshindwa kukuridhisha?Suala la kutoweza kumridhisha mwenza haliwezi kuwa generalized namna hiyo...ni suala la mtu mmoja mmoja.Mwingine anaweza akawa na huo utaalamu na mwingine akawa hana...anapaswa kujifunza.Hakuna uhusiano na suala zima la mzungu au mweusi hapo!Kuwa tu kaka wa kibongo hai-guarantee kuwa utaweza kuridhisha mwenza...inahitaji kujifunza na kufanya mazoezi...heheheh!
 
HALLO TANZANIANS and people who took their time to reply to this i think its a complete waste of time to discuss this while there are greater things we can do to change the world at large. for this women who you are talking about they should go to school and get themselves degrees and apply them usefully as for mwamvita please u turn and its social network is not for a woman of your worth am not tanzanian but i thought you should know that, u associationg with such people lowers your credibility and intergrity. peace out
 
furahieni tu wazungu,ngojeni utu uzima.fistula+mlegeo+kuungana kotekote na mzungu hutamwona.akili ya kuambiwa mzungu ni bora changanya na yako.
 
Unajua jana nimecheka sana, wakati napekua Facebook nikakutana na profile ya rafiki wa rafiki wa rafiki, mdada mmoja hivi wa kibongo kwene status kaeka 'engaged to Mr.so so', sasa ukienda kwene profile ya yule mzungu wala hana hata habari ya kuonesha yuko engaged au yuko na mahusiano yeyote na huyu sungura matope..Well ..low self-esteem na njaa ni kitu kibaya sana.
 
Kitu ambacho mkoloni alifanya kazi vizuri ni kumfanya mtu mweusi asijiamini. Kuna watu hata hapa jamii forums wanaona kabisa kuwa kinyesi cha mzungu ni bora kuliko cha mtu mweusi, akija mtu kama Eminem leo Tanzania anaweza kuonekana ni wa maana sana kuliko hata Obama. Akija jamaa mzungu aliyechoka kutoka Kosovo au Albania ataonekana ni wa maana sana kuliko Masanja mwenye digrii mbili na tajiri.

Waafrika ndivyo tulivyo.

Nimeona wazungu maskini sana na wapumbavu sana, hata wazungu wenzao wanawaita white trash, na wazungu waliosoma na wenye akili wanawathamini niggers zaidi kuliko white trash. Same as blacks wanawathamini blacks waliosoma kuliko watu wa ovyo.

Wakuu ningependa kupata maoni yenu , kuhusu role model wa blacks au waafrika. Nauliza swali hili kwa kuwa nimewahi kuwauliza ma laymen wawili watatu majibu yalikuwa ni Bob marley (ambaye kwa maoni yangu ni MZungu) na wengine walisema Pele. Ndivyo tulivyo.
 
Halafu wazungu ukute wenyewe wana commit bigamy na hizi ndoa za africa. Sijui wanamatatizo gani hawa watoto kwenda kuolewa na mijitu yenye umri kama baba zao wazazi wengine.

In my opinion wanatutia aibu na wala tusiwaite ma-celeb shame on them. Apart from those who truly fall in love na kuonyeshwa kwa hawa wazungu wanapoishi.
 
mtu akitaka kuolewa na mzungu, ni uchaguzi wake. ila kwa wale waliopo huku nchi za magaribi, hakika mzungu akiamua kumwoa mtu mweusi, tena wa africa, ujue kuna jambo...manake hata watu weusi waliozaliwa huku majuu vilevile si rahisi kuolewa na mzungu, kwasababu ya ubaguzi. mzungu hata kisema yeye si mbaguzi, moyoni haiondoki ile dhambi ya ubaguzi.

muwe makini, ukiona mtu anaokota makombo, ujue hana chakula kabisa, either ana matatizo yake kibinafsi ya kimwili, au ni criminal aliyepoteza kabisa reputation huko majuu etc....na kwasababu hapa tz, mtu hata kama alishawai kukaa ndani miaka nenda, akitoka tu anapata mtu wa kuoa harakaharaka, wenzetu mtu alyewai kuwa criminal, watu wanamkimbia...ndo maana wanakimbilia huko tz.

ushauri ni kwamba, ukiolewa na mtu mzungu enyi dada zangu, usikubali mje huku majuu, mkae huko huko tz ndo utapata raha. mkija huku, utapata shida ya kubaguliwa, kwanza na familia ya huyo mwanaume, pili hata yeye mwenyewe hata feel confortable kutembea na wewe barabarani na kukupatia ile haki na raha kama mkewe, si ajabu hata kutambulisha kwa baadhi ya watu wake....naongea kwasababu nimeona watu wamefanyiwa hivyo. utanyanyaswa na kufanywa second class muda wote,....hautakuwa na usemi...tatizo watu wanafikiri kuolewa na kuja ulaya basi ushaula...jamani, ukija ulaya hautakula haya majengo na barabara nzuri, na kupata kazi kwako wewe uliyetoka tz ile ya kuheshimika labda uwe daktari au mtu mwenye profession ya kueleweka, la sivyo, utakuwa tegemezi na mtu asiye na faida, hasa hao wadada waliokimbia shule, wanakaa kunengua viuno mzungu akiwatamani, wenyewe wanataka kuolewa kwasababu imani yao ni kwamba mtu mweupe ndo ana pesa,

wanabadilisha hadi ongea, tembea kila kitu wanaanza ku imitate,huwa nacheka kweli mimi nikiwaona.
 
9 out of 10 nappy-headed hos that date (and eventually "marry") White Men are nothing but hookers. How else would an average African Woman in Tanzania be in a situation to meet and date White Men other than to frequent exclusive upscale nightclubs and hotels where White people like to hang out (in and around Oysterbay, Masaki, Msasani and Upanga areas like Irish Pub, Q-Bar, George & Dragon, Hotel Kempinski, Movenpick Hotel, Palm Beach Hotel etc)
 
kaka/dada
usitukane dada/shangazi/mama zetu.
hio 9/10 sijui uliprove vipi kuwa ni ''hookers'' ningependa unionyeshe utafiti wako.
kuna sehemu nyingi za kukutana na hao wazungu sio clubs/hotels/pubs kama ulivyosema.
hao wazungu watu wanafanya nao kazi,wanaishi nao door to door in tanzania and abroad.
by the way kukutana na mtu huko unakoita''exclusive upscale nightclubs and hotels'' haina maana mtu huyo(msichana wa kibongo) ni ''hooker''
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom