Kuolewa kuna raha zake!

Haya mama watoto,copied!
Sasa kwenda kusoma si ndio moja ya njia za kufikia hiyo independence....hata mie bila ndoa sijuhi hawa makinda wangu nani ange take care mimi ninapokuwa masomoni....point ya kuweza kusoma nimeikubali na nimeshafaidika sana kwa hilo. more kusoma means more money means more financial independency...nothing wrong with kumtegemea mume kulea watoto when needed. kama huna mume unawapeleka wapi? kwa bibi na babu?
 
Ndio maana unatakiwa km ni kuolewa uolewe na mtu unayempenda/anayekupenda na si kufuata materials....ukienda kwa upendo mtaishi kwa upendo...ukiingia kichwa kichwa kuiga wenzio ndo hayo yanawakuta fuuull kulalama
 
Wako watu wanaosema ndoa ndoano
kwamba ndoa ni msalaba na mengine ya kuponda.
Acheni niwatajie baadhi ya raha za kuolewa!

Ukiolewa kwanza unapata kibali cha kuwa na mpenzi wako kihalali.
Raha zako ni halali! Huhukumiwi na mtu yeyote tena.

Pia unapokuwa na mume una uhakika wa ulinzi kwa maana una pa kukimbilia.
Hakuna mtu atakutishia kwa lolote. Una uhakika wa kupata msaada wakati wowote.

Ukiwa na mume unaweza kujijaribia mambo mengi kama huyo mume ni mtu mwenye
uelewa na mwenyewe msaada. Waweza kuondoka kazini ukaenda masomoni na ukajua
hutaishiwa au kupungukiwa.


faida ziko nyingi sana ............. kwa wanawake wenye kufurahia ndoa hebu nanyi elezeeni mnavyofurahia
ndoa zenu!

Waume zetu mpoooo??
MashAllah faida yake ni SAMAWATI wa ALARDH .... ( skies and earth) !!
 
Mwachen afaid hata mie nilikuwa naona dunia yote yangu lakn now najutaje
Hakuwa ubavu wako huyo, mlifosi tu kwa sababu zenu weneywe lakini haikuwa mpango wa Mungu. Wako yupo na ukimpata utakula mpaka kokwa (yaani mpaka kifo).
 
Back
Top Bottom