Kuoga na mume au mke wako...

Yeah lakini wengi wao hawana uwezo wa kusafisha kila siku mkuu lazima ukubali. Kipato mkuu Rasta hizo mtu akisuka anakaa nazo mwezi yote hii kwa ajili kipato.

Fidel
ndo hivyo sasa,muwasaidie wandani wenu kununua vitu kadhaa kama
-Drier za mkono
-shampoo
-conditional
-mafuta ya kupaka

Ili aoshe muda wowote mtakao na muwaone wasafi zaidi.
 
PakaJimmy,

Kwanza pole kwa mashambulizi unayoyapata kwa kile ulichokiandika.

Shida kubwa ya kuoga na Mwanamke iko kwenye mambo ya nywele! Inataka moyo sana kuoga na watu hawa, maana mara utasikia...ooooh unalowesha nywele zangu!!!......uuuuhhh!!! unaniloweshea rasta zangu..!!

Kuna 'kofia' fulani za nylon anaweza kuvaa wakati wa kuoga na bado mka enjoy tu. Kofia hizi zipo tu madukani mwambie/muwezeshe shemeji akanunue.

Baadhi ya wanawake ni wachafu sana, maana atakaa na zile nywele kwa wiki hadi 5 hazijagusa maji, japo wanajidai kupaka sijui ma nini.. sijui makemiko gani.....sijui ndo wanaita ma`enjoface, ..malipstick..mi siyajui!

Nimerekebisha kidogo nikiamini ndicho ulicho kusudia kusema.

Ni kweli kwa mwanamke aliyetia dawa au kusuka rasta si rahisi kuosha nywele kila siku (kila anapooga) kama vile wanaume (au wanawake wasio suka/tia dawa nywele). Hali hii inasababisha magonjwa ya ngozi hasa mba kwa wanawake wengi.

Shiiit... tokea siku hiyo mimi sitaki lawama za kishenzi.

Hapa sijakuelewa!

Hakuna sababu yoyote ya kuoga nao, mwache atangulie yeye kisha utafuatia wewe kwa raha zako..

Sababu bado ipo. Mtafutie hiyo kofia na endeleeni kuoga pamoja. Inasaidia sana kuwaweka karibu na kuimarisha mahusiano kati ya wapendanao.
 
wabeijing wamecharuka, mkuu watake radhi bana ili hali ya hewa iwe nzuri mahali hapa.

Basi wana`Beijing, nawataka Radhi, maana nimeweka hadharani `bila chenga` mambo zenu...
Ulimi hauna Mfuko!
mKE WANGU NI NADHWIFU sana na anajipenda.
Lakini niwe mkweli, kuoga pamoja inakuwaga shida kidogo kwa maelezo yangu ya awali.
 
Fidel
ndo hivyo sasa,muwasaidie wandani wenu kununua vitu kadhaa kama
-Drier za mkono
-shampoo
-conditional
-mafuta ya kupaka

Ili aoshe muda wowote mtakao na muwaone wasafi zaidi.

Mama kipato kinatubana kununua hivyo vikolombwezo unapata 100,000/= kwa mwezi sasa dah hapo kodi,nyumba ndogo,nyumba kubwa,chakula n.k wizi mtupu.
Kingine ujikarabati ili iweje? Wakati mm nimesha kupenda.
 
Basi wana`Beijing, nawataka Radhi, maana nimeweka hadharani `bila chenga` mambo zenu...
Ulimi hauna Mfuko!
mKE WANGU NI NADHWIFU sana na anajipenda.
Lakini niwe mkweli, kuoga pamoja inakuwaga shida kidogo kwa maelezo yangu ya awali.

swadakta, hapa sasa wamekuelewa!.
 
Basi wana`Beijing, nawataka Radhi, maana nimeweka hadharani `bila chenga` mambo zenu...
Ulimi hauna Mfuko!
mKE WANGU NI NADHWIFU sana na anajipenda.
Lakini niwe mkweli, kuoga pamoja inakuwaga shida kidogo kwa maelezo yangu ya awali.

Ok.......... sasa ile xpeliensi ya rasta zilizokaa wiki 5/6 umeipata wapi?..... nyumba ndogo?
 
ni wachafu tu.kwani kila siku wanaenda saluni kuosha nywele?!!

WoS usitetee wengi wachafu

heri wangu mama blanca anazo nywele natural, safi kila siku zapata maji,
na tunaoga wote kama kawaida.
 
hamna kitu kitamu kama kuoga pamoja, kusuguana migongo.....kupeana massage, manicure, pedicure humo humo bafuni huku mki nanannnanananaaaaa. its fore play jamani...i read this in a book dont quote me!!!!
 
Ok.......... sasa ile xpeliensi ya rasta zilizokaa wiki 5/6 umeipata wapi?..... nyumba ndogo?[/QUOTE]

Mwanajamii One

Niliiona kwa nyumba ndogo mahali, toka wakati huo nilimbadilisha na mwingine...!

Lakini wengine ni wafanyakazi wa maofisini humu, unakuta wana ma`smell ya ajabuajabu..... sijui ndo mamimi!!
 
hamna kitu kitamu kama kuoga pamoja, kusuguana migongo.....kupeana massage, manicure, pedicure humo humo bafuni huku mki nanannnanananaaaaa. its fore play jamani...i read this in a book dont quote me!!!!

Massaging is a proffession for your info!
Wanawake wengi hawajui hata inaanzia vipivipi...!
Msiseme tena nawajia juu, hasa akina Wos na M`Jamii1, huo ndo ukweli bana!
 
Massaging is a proffession for your info!
Wanawake wengi hawajui hata inaanzia vipivipi...!
Msiseme tena nawajia juu, hasa akina Wos na M`Jamii1, huo ndo ukweli bana!

wewe pakajimmy sijui wataka usaidiwe kivipi? lazima uende shuleni ndio ujue mambo yote kwani?? all those things and many others are not rocket science...infact inaonekna wewe ndio mzushi huo dada yetu ni shwari kabisa lakini wewe ndio hushikiki!!!!! agh! nimechoka!
 
He! he! he! te! te! te!, jamani wanawake mkiguswaaa, nafurahia sana mnavyo mkomalia huyu jamaa. Bado TAMWA, TAWLA, UWT,MEWATA,WAWATA... hawajatoa tamko,jamaa hatarudi tena!( jokes)
Umesahau WAMA ya Festi Ledi wa Muungwana, aagh, sory sio wa Muungwana tu, I mean wa Tanzania !!
 
Lakini ukweli unabaki pale pale idadi kubwa ya wanawake ni wachafu sana kwa ndani namtetea jamaa hapo juu huu ni ukweli nani hapa ajitokeze aseme ukweli katoka kusuka Rasta kwa mmasai alafu akaosha kichwa siku hiyo aseme hapa.
hahahha weee Fidel taratiiiibu babu wewe, ukisema wanawake wengi wachafu na usafi wa ndani unamaanisha nini? jamani hata huyo asiyesuka rasta anasafisha nywele kila siku? labda awe amenyoa upara au unga unga. wanawake walio wangi wanaenda salon weekend kutokana na majukumu hivi nikija kazini saa mbili natoka saa kumi na moja plus foleni ya magari saa nzima unaingia kwako saa moja, sasa hiyo salon utaenda saa ngapi? so muda mzuri kwenda salon ni weekend, na nywele ukizifanyia usafi kila wiki nna uhakika haziwezi kunuka unless una ugonjwa wa ngozi kichwani,
na kuhusu kuoga na mwenzio jamani haya mambo yanategemeana na upendo na uwazi kati yenu, unajua kuna wanandoa wengine wana miaka mitano lakini kuvaa mbele ya mwenzio anakuwa embarrassed? kuna watu wakiwa kwenye yale mambo yetu lazima wazime taaa, sasa mtawategemea hawa wakaoge pamoja ?yale yale mapenzi ya uoga. kwangu mie naliona ni jambo la kawaida kabisa kuoga pamoja infact ndo maisha yangu ya kila siku niwe kimobitel, niwe bonge, niwe sanamu la michellini ndio keshanipenda kama nilivyo na kubwa zaidi NAJIAMINI NAPENDWA.
 
Ndugu yangu,
Huyo wa kwako mchafu hivyo ulimuibua wapi? Maana nijuavyo mimi usafi wa mwanamke ni kila kitu..... huyo anayekaa na minywele michafu wiki hadi sita ana tatizo la ukwasi! Mwezeshe ili awe msafi kama wanawake wengine!
Unaweza kuomba ushauri tukujuze usafi wa mwanamke unatakiwa vipi.

Kuoga na mamsap ni bomba sana hakuna tatizo lolote na mnaweza pia kunanihii ha ha ha ha wakati mnafanya usafi.
 
Massaging is a proffession for your info!
Wanawake wengi hawajui hata inaanzia vipivipi...!
Msiseme tena nawajia juu, hasa akina Wos na M`Jamii1, huo ndo ukweli bana!

Messaging haina uprofessional wote mimi sijawahi kuingia hata darasa la hiyo kitu lakini nimeshaambiwa nafaa sana kuingia katika hiyo profession. Ni kupay attention tu na kufuata maelekezo ya mlengwa. :)
 
Wewe binafsi unaonaje? Fuata moyo wako wala usijali wengine wanafanya nini.

Aaaaaaaaaaaaaaargh!!
Hakuna kitu kama hiki
Nilijaribu saaaaana kuwa karibu na Mwandani wangu ili tuoge pamoja.
Lakini, kadiri alivyozidi kunizowea, mambo yalianza kwenda mrama!
Shida kubwa ya kuoga na Mwanamke iko kwenye mambo ya nywele!
Inataka moyo sana kuoga na watu hawa, maana mara utasikia...ooooh unalowesha nywele zangu!!!......uuuuhhh!!! unaniloweshea rasta zangu..!! Wanawake ni wachafu sana, maana atakaa na zile nywele kwa wiki hadi 5 hazijagusa maji, japo wanajidai kupaka sijui ma nini.. sijui makemiko gani.....sijui ndo wanaita ma`enjoface, ..malipstick..mi siyajui!
Shiiit... tokea siku hiyo mimi sitaki lawama za kishenzi.
Hakuna sababu yoyote ya kuoga nao, mwache atangulie yeye kisha utafuatia wewe kwa raha zako..
Aaaahhhhh!!

NDIO MAANA mmeambiwa fuateni mioyo YENU, pole kwa uchafu wa mkeo....
 
Messaging haina uprofessional wote mimi sijawahi kuingia hata darasa la hiyo kitu lakini nimeshaambiwa nafaa sana kuingia katika hiyo profession. Ni kupay attention tu na kufuata maelekezo ya mlengwa. :)

Du, BAK,
HAPO UMENIACHA HOI.
BASI ITABIDI NAMI NIWE MPOLE, maana labda huwa nakuwa na haraka mno nikiwa kwenye zile 18 zangu.
Haya mambo tunajifunza kila kunapokucha jamani!
 
Massaging is a proffession for your info!
Wanawake wengi hawajui hata inaanzia vipivipi...!
Msiseme tena nawajia juu, hasa akina Wos na M`Jamii1, huo ndo ukweli bana!

Unless umefanya HOMEWORK otherwise NO research NO right to speak.
Sentence yako ina WALAKINI, any way siwezi comments sijui AINA ya WANAWAKE wanaokuzunguka........
 
Tuwe wakweli jamani. Wanawake wengi (sio wote) wenye asili ya kiafrika huwa hatuoshi nywele kila siku. Wengi wetu huosha mara moja kwa wiki au kama mtu una uwezo mara mbili kwa wiki. Hii ni kutokana na hair styles tulizonazo. Mtu aliyeweka perm sio rahisi aoshe nywele kila siku. Aliyesuka pia vile vile sio rahisi. Walio na nywele natural ndio wanaweza kuosha kila siku.
 
Back
Top Bottom