Kuoana bila kutaka watoto - yawezekana?

Lbda uhamie ughaibuni kwa mila za kiafrica hilo swala ni gumu kama wote mnazaa.

Kuna nchi nyingi Ulaya magharibi unakuta watu ni careeer tu hivyo hawana muda wa watoto so hawazai, lakini uzeeni wanajuta na kufa kama anonymous huku serikali ikitaifisha mali zao, ya nini yote hayo?? zaa bwana.

Hii ndio haswaaaa ninachotaka kusisitiza mimi. Na kwa kuongezea, ndugu Leornado hebu tafakari kama na wazazi wetu nao wangesema wanapanga wasizae, tungekuwa wapi sasa hivi???
Yapaswa tusijiangalie sisi tu pekee, lazima tu-focus na mbeleni na hatima ya vizazi vijavyo. Sisi ndio tuna jukumu la kujenga vizazi vijavyo na hatupaswi kulikwepa. Hatupaswi kuwa kianzio cha kuzuia vizazi vijavyo
 
Labda kwa sababu za kiuzazi ambapo ni nje na uwezo wa binadamu, lakin sio kwa makusudi ya waziwazi
Watu wanaweza kuishi bila mtoto/watoto lakin hili wazo mimi siliafiki kama hakuna sababu nyingine zaidi ya tatizo la uzazi
 
Hii ndio haswaaaa ninachotaka kusisitiza mimi. Na kwa kuongezea, ndugu Leornado hebu tafakari kama na wazazi wetu nao wangesema wanapanga wasizae, tungekuwa wapi sasa hivi???
Yapaswa tusijiangalie sisi tu pekee, lazima tu-focus na mbeleni na hatima ya vizazi vijavyo. Sisi ndio tuna jukumu la kujenga vizazi vijavyo na hatupaswi kulikwepa. Hatupaswi kuwa kianzio cha kuzuia vizazi vijavyo

Ndugu watu wanafikra tofauti..., kila mtu ana mtizamo tofauti na maisha..., Sio watu wote wenye uamuzi wa kutokuwa na familia.., infact ni percent ndogo sana..., main point ni kwamba kwanini jamii ishinikize kila mtu ajaze dunia?, kupata watoto sio obligation, na inabidi hii issue ifikiliwe na wanandoa kama wapo ready kutunza familia..., sababu kuzaa sio kazi even animals can do that..., lakini malezi its all that matters..., sasa unaposhinikiza watu wazae wakati hawataki ndipo tunapopata malezi mabovu..., I repeat this should be the decision of partners and nobody else.
 
Kama nitachukulia kwamba sio rahisi kuona bila matarajio ya watoto (kuwa na watoto ndo maana rasmi ya familia?),
  1. hivi kwa jamii zetu inakubalika kuasili watoto kwa wale wasiopenda au wasioweza kuzaa?
  2. inawezekana badala ya kuasili watoto, basi yule mmoja kati ya mwanandoa mwenye uwezo wa kuzaa akakubaliwa kutumia njia mbadala za kuzaa?
.......was just thinkingly loudly though....
 
Namfahamu kijana ambaye kabla ya kuoa (zamani kidogo) alitangaza kabisa kwamba hataki watoto na anataka kuoa mwanamke mwenye hisia kama zake. Huwa anadai watoto ni usumbufu mtupu.

Sasa ana ndoa ya miaka kama minne na kweli hawana mtoto. hawataki kuzaa wala kuasili.
 
Inawezekana pia kama mtakua mmeoana na kila mmoja ana watoto. Kuna dada aliolewa na mume ambaye ana watoto 3 na yeye mmoja, walichokubaliana ni kutokuzaa mtoto kwa vile wanao tayari. Pia mnaweza kuamua kuishi bila kupata watoto, ila kwa mila zetu za huku inakuwa tabu kweli. Maneno hayatakosekana hapo lawama ni kwa mwanamke hazai.
 
Inawezekana pia kama mtakua mmeoana na kila mmoja ana watoto. Kuna dada aliolewa na mume ambaye ana watoto 3 na yeye mmoja, walichokubaliana ni kutokuzaa mtoto kwa vile wanao tayari. Pia mnaweza kuamua kuishi bila kupata watoto, ila kwa mila zetu za huku inakuwa tabu kweli. Maneno hayatakosekana hapo lawama ni kwa mwanamke hazai.
 
Ndugu watu wanafikra tofauti..., kila mtu ana mtizamo tofauti na maisha..., Sio watu wote wenye uamuzi wa kutokuwa na familia.., infact ni percent ndogo sana..., main point ni kwamba kwanini jamii ishinikize kila mtu ajaze dunia?, kupata watoto sio obligation, na inabidi hii issue ifikiliwe na wanandoa kama wapo ready kutunza familia..., sababu kuzaa sio kazi even animals can do that..., lakini malezi its all that matters..., sasa unaposhinikiza watu wazae wakati hawataki ndipo tunapopata malezi mabovu..., I repeat this should be the decision of partners and nobody else.

Naona hatuelewani ndugu. Mimi sina uwezo wa kuzuia fikra za mtu/watu kama unavyodhani na wala sizuii mtu kutokuwa na mtoto/watoto, na wala siizungumzii hii ishu kwa faida za mtu mmoja mmoja kujichagulia anavyotaka aishi, kila mtu ana uhuru wa kufanya anachojisikia sawa kwake, ndio maana tuna ndoa za jinsia moja sasa coz ni zao la kila mtu kufanya/kuishi anavyotaka.

My point ni kuizungumzia hii mada kwa faida ya jamii nzima na vizazi vijavyo. Leo unasema ni percent ndogo sana ya watu ambao hawataki kuzaa na unatumia mwanya huo kama kisingizio cha kuhalalisha point yako. Lakin kumbuka kuna msemo HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA.

Leo unaiita percent ndogo, baada ya miaka kadhaa mbele unadhani itabaki hivyo hivyo??!!
Think . . .
 
Mkuu,

Kuamua kuwa na ndoa bila watoto inawezekana kabisa kama maamuzi hayo ni nyinyi ndio mliamua na kila mtu akiwa na akili zake timamu bila kushurutishwa na mtu mwingine awaye yote. Wajua mimi napata kigugumizi pale ambapo mtu anazungumzia external force, kama mimi ndio nimeamua basi hakuna wakuniingilia isipokuwa Mungu peke yake. Kwa sababu hao wanaokupreshalizi sio wao watakao mtunza mtoto wala kumpa japo nauli ya daladala kwenda shule au kununua daftari.

Ushauri kwa wanandoa ni kwamba wajifunze kusimamia maamuzi yao na hakuna kitu kitakachoyumbisha hiyo ndoa kamwe.
 
Leo unaiita percent ndogo, baada ya miaka kadhaa mbele unadhani itabaki hivyo hivyo??!!
Think . . .

Hivi since the beggining of mankind umeona population percentage is it declining or increasing...?

watu wasiopenda familia sio wengi because majority ya dada zetu wanapenda watoto, wanapenda familia (human nature) deep down they are mothers...,therefore this percentage will remain to be small.., its a minority..., and that minority haitakiwi ifanye kitu through pressure from the outside na inabidi jamii iwaache na decision yao na sio kuwashinikiza. If its only the case ya kuijaza dunia how many homeless children are there..., Lets start taking care of them first kuliko kusema kwamba kila mtu ana jukumu la kuijaza dunia.
 
CPU.. sasa kama mmoja wao baada ya ndoa ikagundulika au ikatokea sababu ya kutokuweza kuzaa ina maana yule mwingine ana haki ya kuzaa nje ya ndoa au ndoa ivunjike hata kama bado wanapendana?

kwa wakatoliki haturuhusiwi kuzaa nje ya ndoa maana yake hata kama mume au mke hazai hamruhusiwi kutoka nje ya ndoa so life yenu itakua hivyo mpaka kifo kije kiwatenganishe
 
Inawezekana pia kama mtakua mmeoana na kila mmoja ana watoto. Kuna dada aliolewa na mume ambaye ana watoto 3 na yeye mmoja, walichokubaliana ni kutokuzaa mtoto kwa vile wanao tayari. Pia mnaweza kuamua kuishi bila kupata watoto, ila kwa mila zetu za huku inakuwa tabu kweli. Maneno hayatakosekana hapo lawama ni kwa mwanamke hazai.
Hivi haya maneno ya nje kwani ni lazima kuyasikiliza? Huo muda wa kukaa unawasikiliza unatoka wapi? Mimi ni mmoja wa hao ninayepanga kufuata nyayo za hawa wawili!
 
Hivi since the beggining of mankind umeona population percentage is it declining or increasing...?

watu wasiopenda familia sio wengi because majority ya dada zetu wanapenda watoto, wanapenda familia (human nature) deep down they are mothers...,therefore this percentage will remain to be small.., its a minority..., and that minority haitakiwi ifanye kitu through pressure from the outside na inabidi jamii iwaache na decision yao na sio kuwashinikiza. If its only the case ya kuijaza dunia how many homeless children are there..., Lets start taking care of them first kuliko kusema kwamba kila mtu ana jukumu la kuijaza dunia.

Naona umeanza kunielewa ila bado kuna kitu ambacho huamini kama kitaweza kutokea. Population haiongezeki automatically. Kumbuka HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA. Hata dunia hii ina mwisho wake, hakuna kitu ambacho kinatumika kwa binadamu kisienee. Dhambi zenyewe zinaenea sembuse mfumo wa watu kutopenda kuzaa?? Na kama inaenea na kusambaa maana yake inaongezeka. Sasa hivi unasema dada zetu wanapenda watoto, na wakat huo huo unasisitiza kila mtu ana style yake ya kuishi??!!

Hao wanaozaliwa na dada zetu hawawezi kuchange mind wakaishi bila kuzaa wakiona kuna watu wameishi bila kuzaa??
Mi siwezi kukusukuma lazima uzae, ila fahamu future world will be affected by our decisions
 
Naona umeanza kunielewa ila bado kuna kitu ambacho huamini kama kitaweza kutokea. Population haiongezeki automatically. Kumbuka HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA.
Hao wanaozaliwa na dada zetu hawawezi kuchange mind wakaishi bila kuzaa wakiona kuna watu wameishi bila kuzaa??
Mi siwezi kukusukuma lazima uzae, ila fahamu future world will be affected by our decisions

Mkuu population growth is exponential na inakuwa kwa kasi sana..., hata ndio maana China kuna limit ya watu kuwa na watoto..., now unless litokee Gonjwa kubwa la kuumaliza ulimwengu au any massive catastrophe then population itaendelea kuongezeka mpaka pale automatically tutakapoanza kufight for resources ndio itaanza kujilimit na itapunguza kasi... Pia kuna incentives mfano Russia nadhani kuna wanaume wachache au vice versa kwahiyo government inatoa incentives kwa watu kuzaa.

Now you cant fight with Human Nature, majority kina dada wanapenda watoto..., that is nature.., ndio maana hata mtoto mdogo wa kike anakuwa anapenda madolls acheze nayo..., kwahiyo mkuu usihofu hii issue ni ya wachache lakini tusiwape shinikizo kwamba they have a duty to perform ya kujaza ulimwengu...
 
Inawezekana ila kwa ulimwengu huu tuliopo ni ngumu labda tuhamie pluto.
 
China pamoja na kuwa na watu wengi kiasi hicho, lakin bado still hawawezi kuweka kanuni ya kuzuia watu wasizae kabisa, coz itakuwa major factor kuathiri uchumi wa wao unaokuwa kwa kasi sasa. Mimi siwezi kulazimisha mtu lazima azae, ila sasa siwezi kushauri mtu awe na ndoa isiyokuwa na mtoto. Wanawake unawaona sasa wanapenda watoto, lakin wanawake hao hao wako wanaotaka ndoa bila mtoto, sasa mapenzi kwa watoto yanapotelea wapi kwa wanawake hao??? Au watakuwa wanajifariji nao kwa kununua dolls? Au watakuwa wanasubili wengine wazae wao ndo waje kuonyesha upendo??

Kaka inaelekea bado huamini kwamba hili wazo la watu kuoana bila mtoto litaenea na kuwa na wafuasi wengi kadri muda utakavyozidi kwenda mbele.

Tuna uhuru wa kuishi tunavyotaka lakin yapaswa pia tujali na dunia ijayo, tusijiangalie sisi pekee au tusitegemee kwa vile bado majority kwa sasa wanaendelea kuzaa. Hao wanaozaliwa watajifunza mengi ktk kizazi chao, na majority wanaweza wakapendezwa na maisha ya bila mtoto kutokana na walivyoona kwa wachache wanavyoishi sasa, huwezi jua. Pipo always change. Binti aliyezaliwa sasa unaweza ukampa doll ya mtoto akachezea lakin akaja kuwa mtu mzima akatamani maisha bila mtoto. Hata dada zetu wa sasa wanaotaka maisha bila mtoto sio kwamba wao utotoni hawakuchezea hizo dolls.
 
Inawezekana MM,nimekutana na wanaume wasiopenda baada ya ndoa kuwa na watoto na hawana watoto,and its strange that mimi pia na kukulia kwenye jamii hii ya kitanzania,sipendi kuwa na watoto.....so ni kitu inawezekana na ipo.:coffee:
 
Kwamba watu wawili mnaopendana mnaamua kuoana na kuishi maisha ya pamoja bila kutaka kuwa na watoto au kupanga kuwa na watoto. Je hili linawezekana katika jamii yetu au kila ndoa inapimwa kwa mafanikio ya kuwa na watoto na kwamba bila ya watoto ndoa inaonekana kama haikamiliki na hivyo mtu yuko radhi kufanya "lolote" ili awe na watoto?

Thabo Mbeki!
Oprah Winfrey
Madea
Lucky Dube
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom