Dr. Love Pimbi
Member
- Jul 13, 2011
- 48
- 14
huko ni kujitia majarbuni. sasa ukishindwa na ukamsaliti ndo uprove kua huwezi then umwite mkeo au??
na yeye kule akifanya hivyo??
Dada yangu Tasia I, kwanza pole sana ila katika Maisha ya sasa si ajabu kabisa kukuta Mke na Mume wanaishi mahala tofauti hili linaweza kusababishwa na mambo kadha wa kadha mojawapo ni Majukumu ya Kikazi. Unakuta Mume na Mke wanategewa na Familia zao kwa hiyo wanakuwa hawana option nyingine zaidi ya kufata Majukumu ya Kikazi.
Kuna Changamoto nyingi ila Couple zinazoishi Miji tofauti zinashauriwa kuwa na Mawasiliano ya karibu na Kupanga Mipango ya Maisha pamoja na ukizingatia siki hizi njia za Mawasiano zimeboreshwa sana