Kuoa mwanamke wa kihaya inataka ujiandae

Status
Not open for further replies.
Watu wanachuki binafsi tu na ili kabila labda kwa sababu ni moja ya makabila yaliowahi kuendelea Tz.
dada mmoja,namfahamu ameolewa na muhaya,huyo muhaya hana tabu yoyote ile,ila watu wakimuuliza umeolewa na kabila gani,akisema muhaya,watu wanaguna.huyo dada yeye ni mtu wa morogoro

Kwa wachaga wakizaa mwanaume baada ya siku tatu kutaka kujua MTOTO zimo wanadondosha shillingi alafu wanakaangalia kale kasehemu kama kamestuka sie??

Mwe ngoja nikae mkao wa kula asa hivi 'kabila' langu litaana kujadiliwa katika Bunge hili tukufu.

Hivi wanaume hawaathiriki kikabila?? mbona kila thread mwanamke tu .........mwanamke wa kichagga, wa kihaya, sasa hivi mtatusema sie wandengereko

Kila mtu ataanzisha sredi ya kabila la mwanamke aliyempiga kibuti. Naona ni hasira tu za kuachwa wakati unapenda.

Mwe ngoja nikae mkao wa kula asa hivi 'kabila' langu litaana kujadiliwa katika Bunge hili tukufu.

Hivi wanaume hawaathiriki kikabila?? mbona kila thread mwanamke tu .........mwanamke wa kichagga, wa kihaya, sasa hivi mtatusema sie wandengereko

Mwe ngoja nikae mkao wa kula asa hivi 'kabila' langu litaana kujadiliwa katika Bunge hili tukufu.

Hivi wanaume hawaathiriki kikabila?? mbona kila thread mwanamke tu .........mwanamke wa kichagga, wa kihaya, sasa hivi mtatusema sie wandengereko

hahahahaaaa! Just few days if not hours, kabila lako litakuwa on the table ready for discussion! Lol....!

Umejuaje the Boss. Na kwa maandishi huwezi jua kabila la mtu.

Naam NK, ningekwambia utamke ng'ombe, mbung'o au kung'ang'ania lakini nimekutana na wengi ambao matamshi ya maneno haya hayawapi shida kabisa.

hahahahaaaa! Just few days if not hours, kabila lako litakuwa on the table ready for discussion! Lol....!

si usemee tu wale wa Singida wanasifa zao sikuhizi majumbani wahehe cha mtoto akuna anaeenda iringa tangu waanze kujininginiza aku be

Hapo sijakusoma vizuri. Unataka kusema wahaya wanapenda mali za wanaume?? Na research yako sample ni huyo binti??? Eh Pole wahache wenzio wanao enjoy. Kwani wanaume tu ndiyo wenye mali kwenye familia??? Hainiingii akilini. Wewe uliokota tu kasichana ka mjini.

Didy umenikumbusha mbali sana raha sio kuachwa tu mwenzio anaekuja kukalia kiiti awe na tahadhari ..unajua ukiona mwenzio kashikwa na nguzo ya umeme na wewe unaenda kuishika moto wakke mtajuana motoni ama mbinguni sasa kwa walioa na bahati ya kujua wakiwa dunian ni bora wajilinde ama kujitayarisha..m nina kasemina kadogo kabla ya kuoa nilikuwa sinza nikappanga nikawa na kabinti kana kazi yake kazuri kama nanii alivyouliza tukawa na mpango wa ndoa ..alichonishtua ni yeye kuanza kudai ndoaa hapo nikaomba ma consultancy wa ndoa na pengine napenda kuwahsukuru wengine wamo humu humu walionsaidia leo naweza kurudi nyumban na kukuta chakula mezani..kale kabinti kakadai kahamie kwangu nikamwambia siko taayari kakadai nisiogope matumizi..iwe asikwambie mtu niliwasha motorbike yangu mpka bukoba..baadae niliporudi akanipa muda tuwe tushaoana..hakika nakiri nilifanya kosa kumruhusu..na Mungu amensamehe kwa hili aisee hana wikiakaanza kuniuliza ati ameona kwenye begi langu hati ya kiwanja kimara mbezi ..mara ya mbweni loh..nikamwambia sio changu kuna mtu kaomba atumie jinalangu yukonje wee......aisee siku zilizobakia nikirudi kwanza sijibiwi nikamuuliza tatizo nini hasa akadai tuandike majina yetu tukabadilishe nikamwambia subiri ndoa usiwe na shaka..alikaa kwangu siku 65 na Mungu ansamehe niliapa nishasamehe ..naingia ndan aongei natoka asbh ajibu siku 30 nikacha kula nanyumban kabisa ..nilipokaa na maradfiki zangu nikakumbuka nimebakiza miezi 2 kulipia pango..nikajiuliza cha kujifia nini unakuja kula unakutana na Dumu ya bri rajsi tu ya Panya ile nyeusi nikaomba off akiwa kazini kwake na bahati akujua ninapofanya kazi .. hilo likawa shida lingine..nikaenda tigo nikabadili namba nikarudi nikachukua pickup nikaita mjumbe akahesabu kilichomo kwenye gari akaandika akasaini copy akabaki na jirani ..nikamwaga cya Mungu akipenda tutaonana Mbinguni....nilikaa mwaka aje kujua namba yangu wakati huo ufalme ushaanza kutawaliwa na Mwenzake wa kanda ya kaskazini..duh

Mpao abakese

Mimi nimezaliwa na kukulia Dar kwa hiyo hata nikiongea naongea kama mzaramo. But am so proud that my dady ni mnyambo and mum ni mziba pure. That is why sijaficha kabila langu hapa kwani kwangu it is more than a blessing to be Mnyambo.
Naam NK, ningekwambia utamke ng'ombe, mbung'o au kung'ang'ania lakini nimekutana na wengi ambao matamshi ya maneno haya hayawapi shida kabisa.

Mimi nimezaliwa na kukulia Dar kwa hiyo hata nikiongea naongea kama mzaramo. But am so proud that my dady ni mnyambo and mum ni mziba pure. That is why sijaficha kabila langu hapa kwani kwangu it is more than a blessing to be Mnyambo.

yaani wewe...
sasa ndo nini kutonijibu hivyo mwanzo?
and i was right,hauko kihaya,uko kinyambo..
you see?

si usemee tu wale wa Singida wanasifa zao sikuhizi majumbani wahehe cha mtoto akuna anaeenda iringa tangu waanze kujininginiza aku be

Alafu wewe.....! Nani wa singida hapa? Shauri yako ngoja wenyewe wakuone.

Hii ni kwa wale ndugu zanguni mlio karibu kuoa wale ndugu zangu jirani zangu waliokuwa wakwe zangu wa bukoba mkoa wa Kagera sipendi muachane ndani ya ndoa ila lengo langu ni kukuaminisha uliye nae ukikosea kumtumia hakika utageuzwa kampuni ya uda yaani una uza hisa za milion 250 huku wewe una thamani ya mabilioni na mwisho unaenda kuwasumbua wale jamaa wanaovaaga makoti yao meusi na vitambaa vyeupe kule mahakamani...sasa basi hakikisha kabla haujaamua kufunga ndoa soma haya na kama unaweza andika kwenye karatasi ukikaribia jihalalishe mwenyewe kwanza usiangalie wakina shemeji ama nani wakati wa hukumu hutokuwa nao hao

1..Je huko vyema kwenye tendo la ndoa..sipendi kukuachanisha la hasha wamiliki wa kubwa wa hisa za kampuni kutokea kagera lazima moja uwe na nguvu halisia usikimbilie zile za kwenye mabango ya siolipiwa hata kodi wanaongeza nguvu za kiume na kurudisha ndoa la hasha huwa ikifika muda zinaisha na ukikuta wameshakufa wewe ndio lala salamaa sisemi umwache la hasha napenda uwe na amani milele badala ya kuishi ndoa ya mavumiliano

2.Ujitayarishe kujiamini..ndugu yangu huwa katika vipaji wanawake wa Kagera walichopewa ni kujiamini utakuta hana hata hela la hasha anavyokupeleka utahisi ndie mwekezaji mwenye hisa kuliko wote katika hili usidanganyike kuwa kimya ati nitaharibu ndoa loh akikuwahi yeye anakumaliza

3.Hakikisha umejiandaa na maisha kikweliii na si kujaribu ..zamani nikuwa nasema wenzangu wa kichaga pale wa machame ndio wakiolewa hawataaki mchezo lazima ukajenge kwao ukikomaa kakutafutia wezi wanakumalizaa njiani kwake si dili

ONYO

MAWAZO YENU VIGEZO NA MASHARTI YA PAW KUZINGA TIWA

your greatest enemy is yourself. Kama ulimchukua dada wa kihaya ukakosa hela, ukakosa akili ya maisha, na mbaya zaidi mti huwezi kupiga kisawasawa you are good for nothing, kifuatcho ITV ni zarau tu. Wahaya hatulei ndelema sawa p-didy?? Sawa..... Haya.

Asa kwa nn wanaguna?
dada mmoja,namfahamu ameolewa na muhaya,huyo muhaya hana tabu yoyote ile,ila watu wakimuuliza umeolewa na kabila gani,akisema muhaya,watu wanaguna.huyo dada yeye ni mtu wa morogoro

Afu wewe Basiasi (a.k.a PDiddy) inaonekana uko mbinafsi sana kutokana na hii thread yako. Iweje uone nongwa mkeo mtarajiwa kugundua kuwa umenunua viwanja. Bora umemwacha mdogo wangu ungempa shida wewe na sisi tumezoea matanuzi hatujui shida. Kwa hiyo sasa hivi hati za viwanja umezichimbia kwenye andaki mkeo (wa kabila bora) asizione?

duh

Mpao abakese

Status
Not open for further replies.
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom