Kuoa mwanamke wa kihaya inataka ujiandae

Status
Not open for further replies.
Na baada ya ndoa wanaanza kufurahia maisha tofauti ya wahaya kwao kuua ni mwiko watahakikisha wamekuweka sawa na si hapo tu usishangae unafanye repar nyumba za mashangazi wajomba kila mwaka kama serikali yetu ...

4..Kiburi
Wengi wamekuwa na kiburi sana na kwa kukupa onyo wengi wemishia kuwasaliti wenzao wao kwenye ndoa pale wanapohitaji kitu na kushindwa kufanikiwa sipendi kukuona mahakamani kila siku kwa ajili ya talaka ama kwenda segerea ukaishia kuangalia idadi za ndege la hasha naomba jiandae

Mungu akupe ufahamu kabla ya kuoa mwombe ndoa zenu mungu awaonyeshe kabla msije ingia kwenye guinness book za waliochana ndani ya wiki mbili
 
angalizo:kaka zao ndo balaa zaidi,ntakuja na sifa zao baadae..

mbona unachelewa si utaje tu embu nianze nahizi
1.wanapenda elimu aka wamesoma kuliko mabinti

2.kukupasua kwenye dili chafu aijalishi unaelekea singida ama kinondoni cementry hilo wajali

3..hii kimaadili sipendi kwenda sana ila inafanana na waliokuwa nayo dada zao-hme wrk

4.aisee dharau mbaya..yaani ukikuta hana kitu unaweza ukajua mmliki wa bakheresa aisee

5.wanajipenda sana kwa hili nawapongeza na ndilo linasiaidia sana kufanikiwa katika sifa ya namba tatu ..

6.wako chyming sana sana lakini usipokuwa makini furaha yao inaweza kukueletea machozi ya milele kwako

endele ende;eelee endeleeeeeeeeeeeeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
p didy ushamuona msichana wa kihaya kadoda??

UMEANZA LABDA KAOGOPA ILA TUONGEE UKWELI walahi katika makabila mungu amewabariki ukiacha wachaga wa marangu basi ni hili wahaya wachache sana utakuta wana afya mgogorona tena watakuwa wanawaza mali zao zilizopo kashenye,,kaitaba nani anauza ile migomba yangu sasa hivi else..aaahh nawaheshimu ushaona kuna matwins wa epa wanavyopendeza ninachopenda wakizishika wala awaitaji uwajue yaanai utawambua kwa matendo yao ni nani uliza mahakimu wa epa nisifike huko
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom