Kuoa mwanamke wa kichaga

mchaga tu ndio sumu eti,wanatoa mifano ya wandugu waliooa wachagga b4 wakawekWa under control,then wanasema wachaga wana destur ya ku separate ukoo na kum dominate mwanaume na mwnaume ana base totaly on his wife's destination nk.

Mkuu hili kwa kiasi fulani nakubaliana nao kwani nami nina mifano kadhaa ya namna hii. Yuko Prof mmoja hapo UD yeye kajenga huko migombani, bamkwe akitaka kuja Dar anakuja kwa ndege wakati baba yake mzazi kutoka huko Ukerewe anakuja kwa treni na inasemekana hajafanya cha maana huko kwa baba yake mzazi. Kwahiyo ndugu wakiona mfano huu lazima waogope japo si wote kwani wako waliooa wachaga na hawajawa dominated na ukweni na wanaishi vizuri tu.

Mkuu nakupa ushauri huu zingatia.
sijajua huyo mwanamke ni mchaga wa wapi mana wachaga wanatofautiana.
Kama ni mmachame usithubutu kabisa kumuoa tena kimbia na umkwepe haraka.

Tabia yao.
Wachapakazi na watafutafutaji wazur wa pesa, wasimamiz wazuri wa biashara na wanakua na mapenz mazito kabla hujamuoa.

Matatizo.
Wanapenda sana kuwa viongoz wa familia, i mean utakua chini mkeo kwa kila kitu.
Wabishi,wagomvi na wanajua kupigana i mean ukileta za kujua anakudunda.

Mwisho kabisa ambalo ndio kuu ni kwamba hawa wana tabia ya kuua wanaume ili tu warithi mali. I mean mtatafuta pamoja bt mkisha zipata tu lazima akuwahishe na akikuonea huruma sana anakupoozesha upande mmoja wa mwili unakua mtu wa kutulia ndani tu.
Anko wangu yamemkuta hayo.
Kila la heri.
mhh, mkuu! sasa wewe ndio unapatanisha hivi, ama?

Ninavyofahamu mimi, ndoa ni kati ya watu wawili waliopendana na kuamua kuishi pamoja, ndugu huwa wanahusishwa kwenye mchakato wa kufanikisha jambo hilo tena kwa ridhaa yenu, lakini pia mnaweza kufunga ndoa yenu kwa namna ambavyo mnadhani ingewapendeza zaidi.

Fanya uamuzi kaka ndoa ni yenu wewe na huyo mtarajiwa wako na sio ya ndugu....................

waongo wote sehemu yao ni lile ziwa liwakalo moto subiri uone kama wewe na mkeo ingawa sio mmachame nani ataanza kufa. ovyoooooooooooooo

najua wengi hamtakubali ila huo ndio ukweli. Uliza huko uchagani, hata mchaga wa rombo hawezi kuoa mmachame japokuwa wote ni wachaga.
Machame kazi ipo bebi kubali ukatae! Then niliwah kwenda pande hizo, kuna nyumba zina mageti makubwa ukiuliza pale ni kwa nani unajibiwa kwa mama fulani, wanaume hawatajwi kwa nn?

Na ukiuliza mume wa huyo mama unaambiwa ameshakufa.

Na ukifunguliwa geti cha kwanza unakutana na kaburi mbele ya nyumba hapo ndio mume alipo pumzika milele.

ni MROMBO kaka,thanxs sana kwa ushauri mzuri mkuu

aaah gud, kama ni m rombo nakupa Go ahead yani maraungu,mwika,rombo,kilema huko safi tu tena wana roho ya upendo kabisa ila machame usiguse kama hupendi kufa.

nani kasema sisi magogo???wachaga tunakata viuno wamakonde na wazaramu woooote tuupa kuleeee hawatufikii lol

Bebiii umeona eehhh. Huyo jamaa anajustfy kitu ambacho ni unjustfiable. Anajaribu kuleta story za kizamani miaka hiyo tena za kutunga ili kuwazibia watu riziki zao

Mr Rocky ww ni mmachame eeeh, kuwa mkweli man usiwaingize wenzako kaburini.
Nimeishi pande hizo na tumeoa huko so naelewa ukweli.
Hujiulizi kwa nn mchaga wa rombo hawez kuoa mmchame?!
Then unapodai mambo ya zamaani unadanganya, hiyo ni mila yao ilikuwepo na ipo mpaka sasa.

mhh, mkuu! sasa wewe ndio unapatanisha hivi, ama?

Mkuu sio kupatanisha nilikua nampa ukweli tu. Ila kwa kua kasema ni mrombo basi mambo safi warombo hawana tabu wakina Kavishe, Tarimo, Malya, n.k

Kama huna nguvu ya kutetea ari yako ya kumuoa huyo binti, bora umuache tu aendelee na maisha yake. Nachelewa kuamini karne hii mtu mzima unaomba ruhusa kwa familia juu ya uamuzi kama huu unaohusisha maisha yako yaliyobaki hapa duniani??! Kama umempenda, umeshamchunguza na umepiga sala juu ya hili na kuona utampenda kwa maisha yako, ndugu ni kuwaelimisha tu juu ya hilo. Mara nyingi wanakuja kujirudi wakishamfahamu vizuri na kujipa nafasi ya kumsoma kabla ya kumbagua kutokana na kabila.

Mkuu sio kupatanisha nilikua nampa ukweli tu. Ila kwa kua kasema ni mrombo basi mambo safi warombo hawana tabu wakina Kavishe, Tarimo, Malya, n.k

Am proud to be MACHAME! I pity u kwa jinsi ulivyo bado ktk zile zama za ulimbombo na ulindi!

Am proud to be MACHAME! I pity u kwa jinsi ulivyo bado ktk zile zama za ulimbombo na ulindi!
Love uu watoto wa kimachame!
Mnanifurahisha tu kwenye kutafuta hela
but kwenye mambo yetu ya bed zerooo!!!

Mr Rocky ww ni mmachame eeeh, kuwa mkweli man usiwaingize wenzako kaburini.

Nimeishi pande hizo na tumeoa huko so naelewa ukweli.

Hujiulizi kwa nn mchaga wa rombo hawez kuoa mmchame?!

Then unapodai mambo ya zamaani unadanganya, hiyo ni mila yao ilikuwepo na ipo mpaka sasa.

huu ni uongo na upotoshaji wa mambo. Warombo wanaoa machame, wamarangu na wauru pia wanaoa huko. Hilo la kusema ni mila sio kweli! Fuatilia historia ya uchagani ndipo utajua hekaya zenu ni wrong! Ingekuwa wamachame wanaua waume zao kweli bs machame matajiri wote waliooa machame wangesharehemika! Unapopumbazwa na story za bulicheka, UTUMIAGE AKILI KUCHAMBUA, HAIITAJI ELIM KUGUNDUA HUO NI UZUSHI! Am proud to be cute, strong and intelgent machamenian girl. Lol!

oa bwana hata kama ni mmachame usisikilize ya watu wasio na ushahidi wowote wa maneno zaidi ya stori za vijiweni,kama unapenda sana kusikiliza hizi stori na huchanganyi za kuambiwa na za kwako iko siku mtu atakuja kukuambia mama yako mzazi ni mwanga na wewe unaamini mazima,mie hata sijui hizi stori huwa mnazitoa wapi na kuzivumisha kwa nguvu zote???????

Love uu watoto wa kimachame!
Mnanifurahisha tu kwenye kutafuta hela
but kwenye mambo yetu ya bed zerooo!!!

sio mmachame,je uchunguzi wa mambo ya bed uliwafanyia wanawake wangapi wa kimachame???au na wewe umesikia tu na unavuvuzela kwa nguvu zote?

Naona wadada wa kimachame mmechachamaa!!! i like ur attitude,
Hizi mila za makabila kutooana zilikuwa ni za zamani,
sasa hivi mambo yamebadilika!
Wanawake wa kimachame hawatambuliki tena kama WAPALESTINA!

sio mmachame,je uchunguzi wa mambo ya bed uliwafanyia wanawake wangapi wa kimachame???au na wewe umesikia tu na unavuvuzela kwa nguvu zote?
Nimekutana nao wengi, nimeishi nao, nawafahamu vizuri!

....'jilipue' tu bana...Mimi Mchagga wangu simuachi hata kwa dawa!

vipi wanawake wa kibosho?mwenye kuwajua vzr tabia naomba anijuze tafadhali..nataka nikawekeze huko..

Similar Discussions

Back
Top Bottom