BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 956
mchemsho huu usingizi sasa

mi sikubaliani na hilo, bado kuna sample zipo mtaan mwanamke sio tu kwamba anapeza na elimu ya juu kuliko mwanaume but pia anatunza familia.and life goes on happily. so tunapoliangalia hili lazma tupate ushahidi kamili. aaaaaaaaaaay msigope vidume kuoa wanawake wa namna hiyo banaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Hata akikuzidi pesa pia ukijiamini unaishi nae kwa amani tu mkuuLabda mimi nifunge mjadala hapa, ni bora mwanamke akuzidi elimu lakini sio pesa. akikuzidi elimu ukawa na mikwanja unaweza kutumia elimu yake kuzalisha pesa zaidi. Mfano hai kamanda Freeman Mbowe.
Si kweli, money is power. uliza duniani hapa sehemu yoyote ile utajibiwa hivi. hata kwenye Biblia kwenye kitabu cha mithali hekima za mfalme Suleimani inasema " Pesa ndio suluhisho la yote". hakuna swala la kujiamini hapo.Hata akikuzidi pesa pia ukijiamini unaishi nae kwa amani tu mkuu
mwanaume unatakiwa umuongoze mke
hata kama kakuzidi elimu ya darasani
tumia elimu yake kwa faida yenu wote na upendoMwanamke akikuzidi elimu wewe tumia busara na hekima kama baba/ kiongozi w familia na utafanikiwa, kama huna muombe mola akushushie utaona mambo yanavyonyooka.

hebu tuulizane nini maana ya kumzidi mtu kielimu kwanza??????

unaweza kuwa umezidiwa kielimu in papers lakini kwenye general knowledge uko juu sana

mimi hapa huwa nachati na wadada wenye phd kwenye maeneo yao but still nawafundisha vingi ambavyo hawavijui
We umekariri ushahidi ni maandishi tu?duh Jf bhana! Unahitaji ushahid wa maandish kama bi kiroboto

Mimi ninapopishana lugha na wewe Mheshimiwa ni hiyo generalization yako..........what makes them down to earth and loyal ni heshima walizotoka nazo makwao; respects na mapenzi ya kweli wanayopata kutoka kwka waume zao. na sometimes uvumilivu kwa sababu sometimes unakuta mwanamke na elimu yake, kazi nzuri but anapata mume mkorofi asiyemrespect kama mke na bado anavumilia na kuwia down.....................

So point yangu hapo ni kuwa SI WANAWAKE WOTE ambao ni malimbukeni wa hiyo Power unayoizungumzia!.