Kuoa / kutooa kipi bora

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Mambo yanayoendelea kwenye jamii yanatia kichefuchefu. Kwa wale aambao hawajaoa wala kuolewa wana mtihani mkubwa sana. Ona hii mifano. Mume anaondoka kwenda kutafuta riziki anamuacha mke wake nyumbani, nyumbani mke ndo muda wa kuvinjari na mabwana wengine . . .ni sawa hii. Nyingine . .. mke anaaga kwenda naye kutafuta riziki akifika huko ndo muda wa kuendelea na maawala zake au ikibidi kuanzizsha mahusiano mapya. Kwa wanaume ambao hawajaoa mtihani uko hivi, mwanamke anayejishughulisha kutafuta riziki akisafiri ni noma. Akiwa ni kukaa nyumbani kuhudumia miradi ya nyumbani naye ana kero zake. Mbona kuoa ni njia panda?
 
Kuoa ni lazima mkuu! La muhimu ni kuhakikisha kuwa unaoa the right person, usikurupuke wala kuhadaika na uzuri wa shepu au sura!
 
ukichunguza jinsi wanawake na wanaume tulivyo

kimsingi hakuna jipya

watu ni wale wale na mambo ni yale yale tangu enzi na enzi

kilichopo sasa ni mbadiliko ya nyakati yanayofanya binadamu tujue mambo ambayo zamani
sio kila mtu alijua....

mfano bila internet ungekutana wapi kwa mfano na wanawake au wanaume

wakijisifia uzinzi mfano???????

but walikuwepo tangu zamani

simu pia zimesababishamawasiliano yawe rahisi na kutongozana pia

namengineyo
 
Kuoa ni lazima mkuu! La muhimu ni kuhakikisha kuwa unaoa the right person, usikurupuke wala kuhadaika na uzuri wa shepu au sura!
Sio lazima, japo ni muhimu. Wataka kunambia usipooa huwezi kuishi?
 
funnyweddingphotos14qy4.jpg
 
kuna faida nyingi sana unapata ukiooa kuliko usipooa

so bora kuoa

better a bad wife than a no wife
 
ukichunguza jinsi wanawake na wanaume tulivyo

kimsingi hakuna jipya

watu ni wale wale na mambo ni yale yale tangu enzi na enzi

kilichopo sasa ni mbadiliko ya nyakati yanayofanya binadamu tujue mambo ambayo zamani
sio kila mtu alijua....

mfano bila internet ungekutana wapi kwa mfano na wanawake au wanaume

wakijisifia uzinzi mfano???????

but walikuwepo tangu zamani

simu pia zimesababishamawasiliano yawe rahisi na kutongozana pia

namengineyo
Nimekupata, ila sasa hujajibu - ikitokea kijana ambaye hajaoa akakujia na kukueleza mambo anayoyaona kuwa yanamfanya asiwe na hamu ya kuoa utamshauri nini?
 
Bora kuoa au Kuolewa kuliko kutooa au kutoolewa, ni vyema ukifikia mda wa kuo au kuolewa usiangalie ndoa za wengine bali muombe mungu akupatie mke/mme mwema ambaye mtaweza kuijenga familia yenu kwa upendo wa dhati, amani ikatawala ktk ndoa yenu
 
kuoa /kuolewa kuna faida
mke mwema na mme mwema wanatoka kwa mungu.
usimtende mwenzio usiyopenda kutendewa ndoa itadumu
Maneno ni matamu lakini tukija kwenye real life ni noma tupu. Sijui kwenye ngono huwa kuna nini. Unaweza ukafanya then ukaanza kujilaumu, hivyo hivyo na mwenzio anapitiwa then anajilaumu na kubakia sitorudia tena. Ukweli ni kwamba ukishafungulia kashetani hako kukastopisha inakuwa issue.
 
20 yrs down the lane, u will be disappointed more by the things that u ddnt do than the ones that u dd wrong, so they say. japo umesahau kitu, wanaume waliooa nao wakienda kutafuta rizika ama wakisafiri kikazi hawachukui take away?
 
Bora kuoa au Kuolewa kuliko kutooa au kutoolewa, ni vyema ukifikia mda wa kuo au kuolewa usiangalie ndoa za wengine bali muombe mungu akupatie mke/mme mwema ambaye mtaweza kuijenga familia yenu kwa upendo wa dhati, amani ikatawala ktk ndoa yenu
Unamaanisha wenye ndoa zenye matatizo hawakuomba wakati wa uchumba? Na mbona wengine wanaishi kwa misingi ya kidunia (ushirikina) na ndoa zao ziko katika utulivu? Unamkuta baba ni kama ***** hana muda wala wa kufatilia lolote, mwanamke aende club arudi alfajiri hakuna kuulizwa - hawana mgogoro hata kidogo. Wasemaje kuhusu hilo?
 
20 yrs down the lane, u will be disappointed more by the things that u ddnt do than the ones that u dd wrong, so they say. japo umesahau kitu, wanaume waliooa nao wakienda kutafuta rizika ama wakisafiri kikazi hawachukui take away?
Hii ni kwa wote, ndo maana nimeiweka hapa tuijadiri, sio kwamba nawalaumu wanawake tu. Kama maisha ni ki hivyo basi bora tuzalishane tu kila mtu akitaka kudandia yeyote adandie - kufichana ndo kunaleta mambo ya ajabu. Ukizuia jambo fulani linakuwa kama limeruhusiwa sijui binadamu tukoje?
 
Ndoa ni takatifu na ilianzishwa na Mungu so ni muhimu kuoa ila katika kuchagua mme na mke ndo kwenye shida always ask God to give you the right partner and you will enjoy marriage forever you will never regret ila usifuate tamaa za mwili huu
 
Nimekupata, ila sasa hujajibu - ikitokea kijana ambaye hajaoa akakujia na kukueleza mambo anayoyaona kuwa yanamfanya asiwe na hamu ya kuoa utamshauri nini?

nimeshakujibu hapo juu

bora a bad wife than a no wife

kingine muhimu,

waswahili wanasema ukikaa karibu na waridi na wewe utanukia....

hebu kaa karibu na wanawake unaowaona wanafaa hata kama wameolewa

au na wanaume waliiooa wanawake unaowakubali
uone inavyokuwa..

unaweza sema wanawake wote ovyo,kumbe unashinda bar
na wanawake unaowajua ni ma bar maid peke yake
 
Asante baba mchungaji...tulipendeza!!Jamani haya ndio mambo...mkipendana hata magimu yanakua marahisi!Tafuteni muwapendao na wawapendao kweli ndo mpelekane kwa viongozi wa dini!!

Cake ya harusi ninaikumbuka zaidi
 
Back
Top Bottom