usipokunywa utachanganyikiwa mapema....zinaburudisha mwili na kuleta furaha moyoni,,,tamu sana
Are you serious mkuu?ama kweli waafrika tumesoma lakini kuelimika zero,
Thats why tutaendelea kudanganywa na wana SIHASA mpaka kiama.
usipokunywa utachanganyikiwa mapema....zinaburudisha mwili na kuleta furaha moyoni,,,tamu sana
Faida za pombe ni nyingi kuliko hasara zake....
Hivi unafahamu kuwa pombe [ukiondoa ponbe haramu] nyingi zina vitamin zaidi ya 10 lakini ufahamu kuwa kila kitu [hata chakula] kina moderation.Nimekuwa najiuliza hivi pombe pamoja na kukatazwa na imani tofauti tofauti, Madaktari kuwazuia baadhi ya wagonjwa, na watu wengi kupewa ushauri waache pombe.
Lakini cha ajabu pombe inazidi kunyweka sana sana, pita mabarabarani utakuta bar zimeongozana na zimejaa watu mno wakinywa!, Kuna pombe za kila aina kuanzia za kizungu, za kichina, za kiarabu, za kiafrika( kama vile Denge, Chimpumu, Ngedule, Choya, Gongo n.k) n.k..
Hivi kweli jamani watu woote hawa wanao kunywa hizi pombe wanatumia kitu kisicho na faida???? Noo... naamini huenda zikawepo...
Faida ya pombe ninini?
kuna UNYWAJI na ULEVI - sasa mtoa thread hii tufafanulie anataka tumtajie faida za category gani?
kuna UNYWAJI na ULEVI - sasa mtoa thread hii tufafanulie anataka tumtajie faida za category gani?
hasara za pombe
1.Matumizi mabaya ya pesa
2.Hangover asubuhi
3.ngono uzembe
4.dhambi kwa Mungu
5.Ugomvi na watu kwa wale wasio weza kujizuia
6.Huzeesha haraka
7.Huna muda wa kukaa na familia
8.Unadharaulika (kwa wale wanakunywa kwa kupitiliza)
9.
-----------------
-----------------
----------------
--------------------
--------------------
---------------------
Zinasababisha shauku (Nyege) lakini hapo hapo zinaondoa nguvu za kiume, chunguza ..........Faida za pombe
1-Kuahirisha matatizo
2-Ngono zembe
3.............
After all.......hakuna kisijo na hasara............Faida za pombe ni nyingi kuliko hasara zake....