Kunywa mkojo wako

Wahindi wana urine therapy, unakunywa mkojo wako wa asubuhi (kila siku nafikiri), mambo yako yanakua safi. Google utaipata kwa kirefu
 
hao wanajiongelea tu,Mkojo wa bia unajua wewe?halafu ukutane na ule ambao mlevi mwenyewe huwa hanywi maji..
 
hao wanajiongelea tu,Mkojo wa bia unajua wewe?halafu ukutane na ule ambao mlevi mwenyewe huwa hanywi maji..

Umenikumbusha London ya zamani " alcohol was safer to drink than the water". I suppose it's still true kama unasafari za vijijini na mikoani kwenye uhaba wa maji safi?
 
Kuna wakati utafika watu wataambiwa wale visivyofaa vinavyotokana na miili yao kwa sababu tu ni therapy au dawa ya ugonjwa sugu
 
Back
Top Bottom