Mom
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 708
- 29
mi sioni shida kunyonyesha hadharani, maziwa ya mama ni haki ya mtoto so kama nilikua nae hospital nisimnyonyeshe bse kuna watu? No ni unyanyasaji wa watoto huo, kama unaona shida mkeo kunyonyesha hadharani just tell her, lakini tuna baby shawl na mitandio au hata kanga unapohitaji kunyonyesha in public just funika mtu asione ziwa na mtoto aendelee kunyonya kwa raha zake!