Shishi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 1,242
- 39
Tatizo unaweza kulitupa mgongoni ukafikiri mtoto atalidaka kumbe lifedhuli fulani limempiga kikumbo mtoto na kujipendelea lenyewe....
ahahahahhahahah, jamani!
Tatizo unaweza kulitupa mgongoni ukafikiri mtoto atalidaka kumbe lifedhuli fulani limempiga kikumbo mtoto na kujipendelea lenyewe....
...QM, wakati unaandika hivi nauhakika ulinifikiria mimi... weee haya bana. Kamwe, nakuhakikishieni hapa kwa vile nimejitolea kumsaidia mama, miye sita - mid-air intercept hilo titi!!
Haka ka sentensi ka mwisho kanaonyesha SteveD muhuni weye.
Tunarudi palepale yeah its not an offense lakini mbona mkiangaliwa (macho hayana pazia) mna throw very disgusting looks?
At least cover yourself with those nursing covers as suggested by one of the members.
Tatizo unaweza kulitupa mgongoni ukafikiri mtoto atalidaka kumbe lifedhuli fulani limempiga kikumbo mtoto na kujipendelea lenyewe....
...QM, wakati unaandika hivi nauhakika ulinifikiria mimi... weee haya bana . Kamwe, nakuhakikishieni hapa kwa vile nimejitolea kumsaidia mama, miye sita - mid-air intercept hilo titi!!
Hivi kua aliyewahi kuonja maziwa ya mama (kutoka kwa wake zenu/wachumba/girlfriends) yana test gani?
Mama, huo muda wa kuonja utapatikana kweli. Maana Jr. kila akiona unapeleka mkono karibu na chuchu anakunja sura... ukisogelea karibu tu, hicho kilio atachoangusha.... sembuse upeleke domo lako!!!!
....we dare to talk openly Mama, ningeweza kabisa kukujibu, ila naanza kujisikia tunakiuka taboo zetu... some things are just forbidden fruits even to talk about...Hivi kua aliyewahi kuonja maziwa ya mama (kutoka kwa wake zenu/wachumba/girlfriends) yana test gani?
Mtupie mgongoni uone wenye kiu kweli wanalidaka na kulifyonza.
Hujawahi sikia mtu kabakwa kisa alikuwa ananyonyesha?
kuna jamaa mmoja huwa anayakomalia usiku hadi yanaisha, inaibidi mama aamke mapema kuanza kunywa supu ili dogo naye ajipatie. Yaani huyo mama akitaka varangati na mumewe lianze amnyime nyonyo, basi maskini mama huyu yu kama ana mapacha!
Watu wanabakwa katika mazingira tofauti. Punguani huweza kumbaka hata ajuza wa miaka 90! Bado sababu hii si muafaka kuwazuia akina mama wenye watoto wachanga kunyonyesha hadharani. Ni undumila kuwili kwa watu wazima, wao kula hadharani ni sawa kanisa wakati huo huo hawataki kuona vichanga vikinyonya hadharani kwa sababu ya mawazo yao finyu yaliyojawa na matamanio yao. Ni taahira tu ambaye atamuona mama ananyonyesha hadharani na kutaka kumbaka, mtu mwenye akili zake timamu hawezi kabisa kufanya uharamia kama huo.
m m m m m m m , makubwa, wa wapi huyo!!!
we BAK, you are misunderstnding me and others who have raised their issues here, ukweli ni kwamba mtoto anyonyeshwe popote pale, BUT kuondoa aibu ya kujionyesha hadharani kwa mama na kumpa mtoto nafasi ya kuconcentrate, ndio maana nikasuggest kutumia feeding covers, hata tulipokuwa tunakua wengi wetu tuliambiwa tusile vitu barabarani. depende on where u grew up
pili wengi wetu tumelelewa kwenywe mazingira ya dini ambayo haturuhusiwi kutembea uchi, sasa kwangu mie lazima nitatumia hiyo cover tu, kama wengine wamezoea kuonyesha vitu vyao, kauli yao!
so really the issue here is not abt the actual feeding but how u do it, which will depend on personal preferences.
Nilionja siku moja katika sarakasi nikajikuta nayaonja.......mhh yana radha sio nzuri na nilijisikia kichefuchefu kidogo nitapike......nilikomasio rahisi, kwani kuna hisia za hali ya hatari so utashtukia mapema.
Hivi kua aliyewahi kuonja maziwa ya mama (kutoka kwa wake zenu/wachumba/girlfriends) yana test gani?